njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
majitu yana 0.5 points ni majungu kila siku left and right , hiyo namungo huko cairo inaheshimika zaidi yao, ahl tripoli ni ya 24 lakini mwaka jana alipigwa 2-0 na biashara kabla viongozi wao hawajauza mechi na kukataa kutokea mechi ya marudiano na wale jamaa wakaishia kuingia nusu fainali ya shirikishoWasamehe wako ovess
wanalinganisha matokeo ya team hii wanataka yaende wanachowaza wao, biashara mara alipiga m lbya 2-0 mwaka jana mwishowe wale jamaa walifika nusu fainali na orlando piratesUtasikia Agosto ni team mbovu[emoji23]
wanastahili hongera kuwa nafasi hiyo ya 56 na points zao mbili kuna majitu yenye mvi yana 0.5 points ni mabingwa ya majungu na fitna 24/7Hongereni sana namungo kwa mahala mlipofikia
Kama njaa kali hatari je akili itakuwa salama 🤸🤸Ohoo walifungwa na namungo hawa??? so what?? unawachukulia namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa...
simba ni ya 14 ikiwa na points 28....
de agosto ni ya 28 ikiwa na points 10..
namungo ni ya 56 ikiwa na points 2 ..
.utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5
KUWENI NA HESHIMA ,WAPUUZI KABISA
View attachment 2381887View attachment 2381889View attachment 2381890
Makolo wamepiga bomu mochwari
utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5[emoji23]Ohoo walifungwa na namungo hawa??? so what?? unawachukulia namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa...
simba ni ya 14 ikiwa na points 28....
de agosto ni ya 28 ikiwa na points 10..
namungo ni ya 56 ikiwa na points 2 ..
.utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5
KUWENI NA HESHIMA ,WAPUUZI KABISA
View attachment 2381887View attachment 2381889View attachment 2381890
WANAJIVUNIA KWELI HIZO POINTS 0.5 hawana hata mpango wa kuziongeza wamebaki kwenye majunguutopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5[emoji23]
Bora umeongea ukweli mkuuYanga tuache ushabiki maandazi tuwapingeze simba na wanauzoefu na michuano hii tumetia aibu jana kwa timu mbovu tena tukiwa nyumbani