Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Malawi haijawahi kupatwa na majanga makubwa ya kipindipindu na vimbunga ambavyo vinaleta maafa makubwa. Lakini jamaa alivyopelekwa tu kutuwakilisha vikatokea.
Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa janga la kipindipindu. Maza waonee huruma wacuba. Mrudishe faster jamaa nyumbani.
Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa janga la kipindipindu. Maza waonee huruma wacuba. Mrudishe faster jamaa nyumbani.