Nakumbuka kuna wetu walikamia safari ya Dom hadi wanataka kutoana macho...
Tulijitahidi kuwapoza na kuwapatia ushauri (kama kawaida ya wazee...ama kweli uzee dawa) ili mambo yaende salama. Sasa babu nasakamwa na mawazo hata usinginzi unakuwa shida. Siachi kujuliuza..hivi hawa wajukuu tuliowatuma Dom, tutakawafungia Novena na kuwawekea mikono wamerudi? Na kama wamerudi wako salama? Wamerudi wote kabisa hata mmoja wao hakupotezwa huko?
Haaaaaaaa......Naomba wanipe jibu, mwenzenu nimechoka kukaa na pressure juu!
Babu DC
Mkuu DC...excatly kwa nini pressure inakuwa juu una wasi wasi wajukuu wamechakachua wakabaki kabisa huko? LOL
Si unajua tena mzazi? Yaani unaweza kukosa usingizi wakatu mjuu yuko hapo tu nje ya nyumba anapiga story na wenzake.
Mimi nilitegemea wakirudi au wakati wako huko basi wangekuwa wanasalimia babu na bibi zao. Sasa sioni salamu. Hapo sina haki ya kuwa pressure kweli?
mkuu bunge halijesha bado
In fact the finest ameonekana anakagua vikuku vya kina dada
Asprin tangu alivoenda Ngwasuma, Kilimani pale, hajarudi hadi leo nasikia kakamatwa na mgogo huko kamweka ndani
MJ1 na Rose80 wapo kwa wamasai, wanachagua chachandu na vikuku,
RR na Baba Gift wamekesha chako ni chako na wameagiza tenga from Singina wanakuja nalo baa mupya
Fidel aliishia chalinze pale (usiulize kwa nn)
Kimey yeye tulipofika Morogoro akakatisha njia kaishia mazimbu kule chini ya muti kukumbukia boom,, ( na kumwona mtoto alitebatizwa Agric general)
Preta yupo yupo nimemwona akikatiza kuangalia kipedo sehem sehem yeye anadai kwenda kuhudhuria machozi band
Pearl, Nyamayao, GY, bacha, kakakiiza na Kimbweka wako kwa mama ntilie wanakunywa supu na kinywaji cha asili ya huku
Nimebaki mimi tu kukuletea taarifa maana wamesema hawarudi hadi bunge liishe!

Sasa wewe ndiye unastahili kuitwa mjukuu....Kwa maana hiyo wengi wenu ni majeruhi.
Tutawasaidia tu msiwe na wasi wasi..We are here for u!
Na mimi pia nisharudi nipo nyumbani sasa
Ngoja nimuwangalie the Finest kama ameshamaliza 'ukaguzo' sijui kama anajua kuwa umesharudi?
mkuu bunge halijesha bado
In fact the finest ameonekana anakagua vikuku vya kina dada
Asprin tangu alivoenda Ngwasuma, Kilimani pale, hajarudi hadi leo nasikia kakamatwa na mgogo huko kamweka ndani
MJ1 na Rose80 wapo kwa wamasai, wanachagua chachandu na vikuku,
RR na Baba Gift wamekesha chako ni chako na wameagiza tenga from Singina wanakuja nalo baa mupya
Fidel aliishia chalinze pale (usiulize kwa nn)
Kimey yeye tulipofika Morogoro akakatisha njia kaishia mazimbu kule chini ya muti kukumbukia boom,, ( na kumwona mtoto alitebatizwa Agric general)
Preta yupo yupo nimemwona akikatiza kuangalia kipedo sehem sehem yeye anadai kwenda kuhudhuria machozi band
Pearl, Nyamayao, GY, bacha, kakakiiza na Kimbweka wako kwa mama ntilie wanakunywa supu na kinywaji cha asili ya huku
Nimebaki mimi tu kukuletea taarifa maana wamesema hawarudi hadi bunge liishe!
Heeeee,
Hivi uko mzima wewe? Umerudi salama au ulikacha?