J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 14, 2024 #1 Tofauti na Hapa Africa ambapo Misibani wanaenda kujitafutia Sifa, Umaarufu, mbwembwe na hata kulogana Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka Rip Edward Lowasa
Tofauti na Hapa Africa ambapo Misibani wanaenda kujitafutia Sifa, Umaarufu, mbwembwe na hata kulogana Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka Rip Edward Lowasa
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Feb 14, 2024 #2 Hapa kijijini kwetu misiba huisha kwa miezi mitatu.Mpaka tuhakikishe wafiwa wameishiwa unga wa ugali ndiyo tunaondoka.
Hapa kijijini kwetu misiba huisha kwa miezi mitatu.Mpaka tuhakikishe wafiwa wameishiwa unga wa ugali ndiyo tunaondoka.