Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa yupo Facebook hahahah
Takataka
Yeap anainjoy Facebook, ila ngoja atoke Church sijui atanifanyejeAu sio
Itakuwa huwezi juaLabda na yeye yuko Facebook
Naye huwa anasali?Yeap anainjoy Facebook, ila ngoja atoke Church sijui atanifanyeje
Eeh tena ni yule mromani wa ukweliNaye huwa anasali?
Najua kuwa sio ila nasema kuwa kuna mijitu inachukuaga vitu vya watu humu inapeleka Facebook sasa siku ukidakwa huko sijui utaeleza nini🤣🤣🤣🤣Sio yeye huyo
Kabisa wanazingua sana yaani sana wanaiba content humuNajua kuwa sio ila nasema kuwa kuna mijitu inachukuaga vitu vya watu humu inapeleka Facebook sasa siku ukidakwa huko sijui utaeleza nini🤣🤣🤣🤣
Waendelee tu kuiba hawajui kuwa kuna ID zingine humu ndani zinatafutwa kaka dhahabu ya Geita mtu atajutaKabisa wanazingua sana yaani sana wanaiba content humu
Kabisa siku wajichanganye waliwe vichwa kama ben saa 8Waendelee tu kuiba hawajui kuwa kuna ID zingine humu ndani zinatafutwa kaka dhahabu ya Geita mtu atajuta
Hv Ben ID yake ilisanukiwa auKabisa siku wajichanganye waliwe vichwa kama ben saa 8
Si alikuwa ana tumia id orijino wakasepa nae wakubwaHv Ben ID yake ilisanukiwa au