Huko kwenu kuna neno gani jipya?

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Haya ni baadhi ya yaliyosikika mwaka huu

Kimeumana
Kupigwa na kitu kizito
Kuupiga mwingi
Utajua hujui
Mbususu
Mwendazake
Pira biriani
.......
 
Naskia Mama anaupiga mwingi na mataifa ya nje hela zitamwagika hapa ndani mpaka mshangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…