Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?

Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?

Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho la mviringo tepetevu lililojaa huba anakuuliza "baby unataka nikupe nini?"

Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?
Pameanza kuchangamka, mamake....
 
Sikuhizi utelezi bure... Otherwise umkute msukuma aliyezubaa atakupa hela... The rest unakopwa hadi nauli ya kurudia...🤣
Sasa kinachowafanya msiendelee au mfilisike ni nini, hao wasio wasukuma na wanahonga hadi nyumba na magari unadhani hawauoni huo utelezi wa bure, ninyi wenyewe huwa mnasema ukiona mwanaume hahongi ujue ni either hana hela au hajamuelewa huyo mwanamke
 
Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho tepetevu la mviringo lililojaa huba hlf anakuuliza "baby unataka nikupe nini?"

Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?
Ila kuna watu watundu Jamani 😅😅😅😅hii nilikua siijui hii😅Na copy na ku paste tu.
 
Back
Top Bottom