Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Sikuhizi utelezi bure... Otherwise umkute msukuma aliyezubaa atakupa hela... The rest unakopwa hadi nauli ya kurudia...🤣Halafu mkifilisika mnaanza kuwatukana wanawake
Pameanza kuchangamka, mamake....Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho la mviringo tepetevu lililojaa huba anakuuliza "baby unataka nikupe nini?"
Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?
aroo muraa fita ni fitaAloooo
sijapenda kwakweliNipe quarter final niwapelekee yanga
kumekuchwa kiongoziNdio panapambazuka.
Mwambie akupe pesa
Na kadi ya chadema
Sasa kinachowafanya msiendelee au mfilisike ni nini, hao wasio wasukuma na wanahonga hadi nyumba na magari unadhani hawauoni huo utelezi wa bure, ninyi wenyewe huwa mnasema ukiona mwanaume hahongi ujue ni either hana hela au hajamuelewa huyo mwanamkeSikuhizi utelezi bure... Otherwise umkute msukuma aliyezubaa atakupa hela... The rest unakopwa hadi nauli ya kurudia...🤣
😳wapi huko sasa?Namwambia gusa achia twende upande wa pili
Ila kuna watu watundu Jamani 😅😅😅😅hii nilikua siijui hii😅Na copy na ku paste tu.Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho tepetevu la mviringo lililojaa huba hlf anakuuliza "baby unataka nikupe nini?"
Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?