Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Maneno mengiii kama yapiIla anantia wasiwasi namuona ana maneno mengi huyo.
Mmhhh
Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijinihivi ana dalili za wakuja kweli
Hahahaa!Maneno mengiii kama yapi
Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo semashow off zao tu tunajua
Yan unaongea sana [emoji23]Maneno mengiii kama yapi
hivi hujawahi kufika darisalamaMi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijini
hahahhahaHahahaa!
Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue.
Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku.
eb fika kwanza mengine tutayaona hukuhuku [emoji23]Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo sema
Sawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingiHahahaa!
Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue.
Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku.
Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja.Yan unaongea sana [emoji23]
Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa manenoYan unaongea sana [emoji23]
Na kimuhe muhe juu.Yan unaongea sana [emoji23]
Sijawahihivi hujawahi kufika darisalama
Sawa mkuueb fika kwanza mengine tutayaona hukuhuku [emoji23]
Hahahaaa! Kabisa mana ndiko unakoelekeaNimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno
hahahhah halaf waongeaji wengi wapo hivyo huwa naogopa mwanaume anaeongea sanaSawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingi
Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno
Aaaah ndo yamekuwa hayo tenaaBora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja.
[emoji23][emoji23]Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja.