Huko makanisani wanakwaya wanakulana hakuna mfano.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Shalom ndugu zangu, huko makanisan ni kutamu balaaa, watu wanapelekeana moto hakuna mfano.

Nimeshahudumu kwenye kwaya hivyo michezo yote naijua, tena ukute mwalimu wa kwaya ni(me) na hajaowa basi mabinti wengi hujisogeza hapo ili wapate upendeleo wa kuimba.

mwalimu mwenyewe wa kwaya awe hana hofu ya Mungu wala nini atakong’ota mabinti hakuna mfano.

Kuna sisi mameni wenye sauti tamu yaani tunaimba balaaa 😃😃😃 aiseeeeh tunawala hawa mabinti hakuna mfano.

Kuna wale wachungaji washenzi washenzi aiseeeh wanawala hawa mabinti kuna mmoja aliwatandika mabinti wa kwaya wawili lilipogumburuka akatokomea kusiko kusiko julikana.
 
Swala la sex ni biology.Pia ni kama uhitajio la mwili kama vile njaa ikikubana jinsi unavyo hitaji chakula.Any way hata vijana wengi wana sisimka kwenda makanisani uku akiwa na lengo nyuma ya pazia.
KITU INAITWA IMANI NI NGUMU SANA KWA HAPA DUNIANI.
 
makanisani
madrasa
wanasiasa
bungeni
TISS
polisi
jeshini
hospitalini
masokoni
majumbani
wasanii
wanywasoda
baa
njiani
serikalini
ccm na vyama pinzani
mashuleni
vyuoni
makaburini
misibani
kwenye uchaguzi
ajira
mashambani
vitani
haya sasa ukimbilie wapi?
 
Hapo madrasa sijaelewa maana kule ni watoto wadogo sana, au kubakwa ndiyo wewe unasema wanazini kama wanakwaya watu wazima?
 
Kwamba ni kosa kufanya mapenzi!?
Anyway inawezekana bado Kuna akili ya kinyumbani nyumbani unayo ikiisha utaona mapenzi ni kitu Cha kawaida na lazima yafanywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…