Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 446 Reaction score 1,113 Aug 31, 2026 #1 Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick), Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili ambazo Barcelona wamecheza, Barcelona wamekusanya alama 6 na kufunga mabao 7 lakini Yamal bado hajafungua kabati la mabao msimu huu
Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick), Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili ambazo Barcelona wamecheza, Barcelona wamekusanya alama 6 na kufunga mabao 7 lakini Yamal bado hajafungua kabati la mabao msimu huu
Jigejr_09 New Member Joined Aug 28, 2026 Posts 1 Reaction score 0 Aug 31, 2026 #2 Ni suala la muda tu atafunga kijana yetu