johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna mantiki gani Kiongozi wa Serikali kukaa Mbweni na kazi anafanya Posta?
Kwa mfano Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wangekuwa wanatumia hata Chopa kama ile ya Chadema.
Kumekuwa na foleni sana kuanzia Africana hadi Palm Beach kwa sababu ya kuwasubiria wao wapite.
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu wa mbinguni 😄😄