Huko mlipo bado mnatafuta ukweli na bado hamjaupata ndio maana mnahangaika

Mkuu ungekuwa mtaani kwangu ningekuwa nakuita unisaidie kuwatoa tongo tongo watu weusi kama mimi. Ujinga ni mkubwa sana na umeota mizizi na shina lake ni bora mbuyu kuling'oa ni kazi.
Bwana OYOSHO alipata waambia wahindi kuwa wengi wao ni wajinga na wasiotumia akili na kazi yao ni kufuata tu kila walichombiwa bila kuhoji. Nadhani kauli hii inawahusu hata waafrika. Kazi ni kufuata tu upepo wa wazungi na warabu na sasa wachina.
TZ Zimejaa Bogus kila kona. Wazungu wanapigana kuna bogus zinataka kutuaminisha eti vita ya 3 ya dunia,mzungu akisema vita ya 3 ya dunia hata kama Africa,Arab, China, nk hazipo vitani tukubali na kufindisha sheleni huo ujinga, hapo ndio utaona ujuha wa mwafrika.
 
Kuhusu pesa nakuunga mkono.
Tunuomba mungu makaratasi yalioundwa na wajanja wachache na kuhalalishwa matumizi. Pesa mi makaratasi, kemikali, miti,madini nk vitu ambavyo mungu aliviumba vipo tu ardhini.
Mfumo huu wa maisha wala sio halisi bali umetungwa na wajanja wachache wawatawale wengine.
Hivyo hata kazi zimeundwa na wajanja wawaendeshe wengine.
 
Wanakuhubiria uwe tajira na majumba ya kutosha.. Baadae wanakuomba ela ya sadaka...

Wanakwambia dini yetu ya haki... Ukiwaambie wathibitshe... Hawana cha kuthibisha..

Wanakwambia kula chakula fulani ni dhambi... Lakin wanazini na kurogana.. Sasa cjui hyo sio dhambi..

Mungu wao kaumba kila kitu... Ila Lakin wao ndio wa kwanza kuwabagua watu walioumbwa na Mungu wao..

Africa ni muda wa kuamka.. Dini hzi zinaendelea kutulemaza na tunaanza kubaguana huku wenzetu wanapiga hatua
 
Pia elimu ya mkoloni imefubaza innovation ya mtu mweusi wengi wamekuwa nyapara wa mkoloni,mweupe au mweusi.
 
Umeeandika mengi ila mimi machache tu ya kuongeza. Kwa nini elimu yetu hadi leo tunaendelea kusoma vita za dunia, sijui mfecane war, wa kina shakazulu ambayo havisaidii chochote kwenye ulimwengu huu tubadirike
 
Mungu ^haletwi^ my friend! Yeye yupo kila mahali. Angalia ulipojikwalia, siyo ulipoangukia!
Tatizo Waafrika wengi hatujitambui Ndugu yangu. Hata Wewe Unaposema Mungu yupo Mahali popote unakuwa Umekariri tu huo Msemo

Mungu Yupo alipo na Wewe upo Ulipo. Unaposema Mungu yupo Mahali popote Hata Mfukoni mwako yupo. Chooni Yupo...Ukiingia Ghetto kwako Yupo.. Kwa Washenzi na Malaya wanapojiuza pia Yupo

Ni kati ya Msemo wa Kishenzi sana Uliozoeleka ndugu yangu. Ni sawa na Neno Mkuu ambalo Linatumika Pale mtu anapomuita Mtu

Mkuu ni Mungu Pekee
 
Umeeandika mengi ila mimi machache tu ya kuongeza. Kwa nini elimu yetu hadi leo tunaendelea kusoma vita za dunia, sijui mfecane war, wa kina shakazulu ambayo havisaidii chochote kwenye ulimwengu huu tubadirike
Kwanza Vitu kama hivyo Vinatakiwa Visisomwe darasani bali usimuliwe tu au Ununue Kitabu Maktaba usome tu havina Haja ya Wewe kukaa Darasani kuvisoma maana si Elimu hiyo. Elimu haiwezi kupatikana Kirahisi hivyo Elimu ni Jambo kubwa sana na La Kificho sana ndio maana Formula nyingi za Kutengeneza Mabomu na Hata Fomula ya Kutengeneza Coca-Cola leo hii Mtu wa Kawaida hawezi Ijua ni kitu kilicho fichwa

Sasa Unaposoma Historia ya Vita wakati Muda wowote unaweza Kuipata hata Millard Ayo anaweza Kuipost tu hiyo si Elimu bali masimulizi tu hata Ukifikisha Miaka 50 unaweza kupata. Watu wengi walishuhudia mambo hayo yakitokea kwahiyo Unaweza Kusimulia tu Ndugu yangu
 
Hao wengine washajitambua ni kina Nani na Wanataka Nini. Mwafrika ameshaaminishwa mambo mengi sana ya Hovyo na Yasiyoingia Akilini

Yaani Mtu kaishi Afrika miaka zaidi ya 5000 yupo halafu Kitabu Kinakuja Kina mwambia Kulitokea Sodoma na Gomora Mungu akaadhibu Dunia Nzima kwa Moto na Gharika

Sasa Jiulize Hapo kwa Akili tu. Kitabu kinachomwambia Hivyo kimekuja kwake miaka ya 70s ndio kakishika MA babu zake na Mabibi zake hawajawahi hata Kujua Kuna Sodoma na Gomora wala Gharika

Halafu Yeye anaamini Hivyo kisa Kaambiwa na Kitabu kilichoandikwa Juzi tu hapa na Watu
 
Pia elimu ya mkoloni imefubaza innovation ya mtu mweusi wengi wamekuwa nyapara wa mkoloni,mweupe au mweusi.
Walikuta Waafrika wana maandishi yao na Mahesabu yao

A-A
B-be
C-Che
D-De

Moja ilikuwa ni MOSI
Mbili ilikuwa ni KHABIRI
Tatu ilikuwa ni BHITATU
Nne ilikuwa ni YINE
.
.
. Tisa ilikuwa ni KENDA
Kumi ilikuwa ni CHUMI

Sasa Wakaweka Ya Kwako ndio sasa Mnayasoma na Elimu yetu na Tamaduni zetu zikaitwa za Kipumbavu na Kichawi. Wakaweka mifumo yao ya Kisiasa ambazo leo hii mafisadi wamekuwa wengi wanaiba Wananchi mali zao. Zamani huwezi kuwa kiongozi ukaibia watu usichanganyikiwe au ukoo wako ukaharibikiwa
 
Mizimu ya mababu wangu ikubariki na huo wimbo hapo japo mwishoni mwimbaji alihasi
Your browser is not able to display this video.
 
Aisee umeandika kwa uchungu sana na kuwaonea huruma WaAfrika wenzako ni darasa zuri sana....[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]

Makaburu[emoji200][emoji200][emoji200]. wakiuona huu uzi watakutafuta baki kuwa Anonymous
 
Ya Mungu mpe Mungu ya Kaisari muachie Kaisari [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mpaka tulipofikia hatuwezi kuamka, Ukitaka kuwaamsha watu wanakunyongelea mbali
 
Mizimu ya mababu wangu ikubariki na huo wimbo hapo japo mwishoni mwimbaji alihasi
View attachment 2135017


الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?


الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.


الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.


الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.


الحمد الله: إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا وَأَصْلَحُوا وَبَيَّنُوا فَأُولَٰئِكَ أَتُوبُ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنَا التَّوَّابُ الرَّحِيمُ
Ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea toba yao, na Mimi ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu.


الحمد الله: وَمَثَلُ الَّذِينَ كَفَرُوا كَمَثَلِ الَّذِي يَنْعِقُ بِمَا لَا يَسْمَعُ إِلَّا دُعَاءً وَنِدَاءً ۚ صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَعْقِلُونَ
Na mfano wa walio kufuru ni kama mfano wa anaye mpigia kelele asiye sikia ila wito na sauti tu -- ni viziwi, mabubu, vipofu, kwa hivyo hawaelewi.
 
Na tunaendelea kuwa maskin na kuzaana.. Ukiwaambia watumie uzazi wa mpango.. Wanakeambia Mungu hapendi.... Sasa cjui Mungu wao anapenda watu kuzin ovyo ovyo..

Tunadumaa kwa fikra kwa hizi dini zilizokuja na meli.. Ukikutana wanavyobishana mtaani unaweza zani hao wakina ibrahim ni ndugu zao vile

Mpaka tulipofikia hatuwezi kuamka, Ukitaka kuwaamsha watu wanakunyongelea mbali
 
Waafrika wenzangu ni Kitu Gani Cha Kwetu Tunachojivunia?

Hatuna Mungu
Hatuna Teknolojia
Hatuna Afya njema
Hatuna Amani


إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.


فَإِنْ حَاجُّوكَ فَقُلْ أَسْلَمْتُ وَجْهِيَ لِلَّهِ وَمَنِ اتَّبَعَنِ ۗ وَقُلْ لِلَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ وَالْأُمِّيِّينَ أَأَسْلَمْتُمْ ۚ فَإِنْ أَسْلَمُوا فَقَدِ اهْتَدَوْا ۖ وَإِنْ تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ
Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.


إِنَّ الَّذِينَ يَكْفُرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ وَيَقْتُلُونَ النَّبِيِّينَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَيَقْتُلُونَ الَّذِينَ يَأْمُرُونَ بِالْقِسْطِ مِنَ النَّاسِ فَبَشِّرْهُمْ بِعَذَابٍ أَلِيمٍ
Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali.


أُولَٰئِكَ الَّذِينَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمَا لَهُمْ مِنْ نَاصِرِينَ
Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.


أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَىٰ كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّىٰ فَرِيقٌ مِنْهُمْ وَهُمْ مُعْرِضُونَ
Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.


ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَنْ تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ
Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua.


فَكَيْفَ إِذَا جَمَعْنَاهُمْ لِيَوْمٍ لَا رَيْبَ فِيهِ وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ
Basi itakuwaje tutakapo wakusanya Siku ambayo haina shaka kuja kwake? Na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
 
Thibisha.... Kama dini ya kweli ni uislam.. Bila kutumia Quran...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…