Huko mlipo bado mnatafuta ukweli na bado hamjaupata ndio maana mnahangaika

Tunajua km Mungu yupo Muumba wa Mbingu na Ardhi na vilivyomo ndani yake sema sisi wa Afrika ni mazwazwa tumekua wanyenyekevu mno na kushindwa kufanya masuala yanayotuhusu
 
Unatakiwa kujiuliza Hao Mitume wa Zamani hawakuteremshiwa Vitabu ila Wewe ukateremshiwa Kitabu

Hujiulizagi tu kwanini Mababu zako wa Kwanza Hawana Kitabu ila Wewe unacho
 
Kiukweli umeeleza kifupi nakiundani zaidi ila upumbavu wetu umefikia hatua yajuu Sana kuamini miungu yawaarabu nawayahudi hakutuondolei umasikini Bali inatupoteza nakutufanya wapumbavu zaidi riziki ya Mtu ipo kwamtu
 
Hivi nivitisho mkuu hakuna lolote mungu wakweli ni mungu wamababu sio huyu wawaarabu
 
Hivi nivitisho mkuu hakuna lolote mungu wakweli ni mungu wamababu sio huyu wawaarabu

Allah ni wa wote na sio waarabu pekee.



الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.


فَإِنْ حَاجُّوكَ فَقُلْ أَسْلَمْتُ وَجْهِيَ لِلَّهِ وَمَنِ اتَّبَعَنِ ۗ وَقُلْ لِلَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ وَالْأُمِّيِّينَ أَأَسْلَمْتُمْ ۚ فَإِنْ أَسْلَمُوا فَقَدِ اهْتَدَوْا ۖ وَإِنْ تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ
Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.


إِنَّ الَّذِينَ يَكْفُرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ وَيَقْتُلُونَ النَّبِيِّينَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَيَقْتُلُونَ الَّذِينَ يَأْمُرُونَ بِالْقِسْطِ مِنَ النَّاسِ فَبَشِّرْهُمْ بِعَذَابٍ أَلِيمٍ
Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali.


أُولَٰئِكَ الَّذِينَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمَا لَهُمْ مِنْ نَاصِرِينَ
Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.


أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَىٰ كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّىٰ فَرِيقٌ مِنْهُمْ وَهُمْ مُعْرِضُونَ
Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.


ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَنْ تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ
Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua.


فَكَيْفَ إِذَا جَمَعْنَاهُمْ لِيَوْمٍ لَا رَيْبَ فِيهِ وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ
Basi itakuwaje tutakapo wakusanya Siku ambayo haina shaka kuja kwake? Na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
 
Itatuchukua mamilioni ya miaka kwa waafrika kujitambua na kujua kwamba tumegeuzwa ndondocha.
 
Ukinitajia sehemu inayowatambua wagogo wapare wasukuma nk
Achana namistari inayozungumzia dunia kwasababu kipindi inaandikwa misaafu walifikili dunia nzima nipale walipo wenyewe yaani hakuna watu zaidi yawao wenyewe
 
Ukinitajia sehemu inayowatambua wagogo wapare wasukuma nk
Achana namistari inayozungumzia dunia kwasababu kipindi inaandikwa misaafu walifikili dunia nzima nipale walipo wenyewe yaani hakuna watu zaidi yawao wenyewe

Eti wasukuma, wapare na wagogo 🤣🤣🤣
 
Umegonga kwenye ugoko..huo ndio ukweli halisi ukiacha vywa kwenu tarajia kuwa mtumwa..ila wafia dini za kuletewa watakukashifu jiandae kwa hilo pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Another brainwashed creature..miafrika haisaidiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukinitajia sehemu inayowatambua wagogo wapare wasukuma nk
Achana namistari inayozungumzia dunia kwasababu kipindi inaandikwa misaafu walifikili dunia nzima nipale walipo wenyewe yaani hakuna watu zaidi yawao wenyewe
Wao wanasema Kitabu kimekamilka hakuna Jambo lolote lililoachwa wanajinasibu kitabu chetu kimekamilika

Kimekamilika Halafu Hata Wagogo. Wahaya.. Wapare..Hakina Historia zao humo
 
Ukweli mchungu, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kwanza inaonyesha hata yesu ni mwafrica sema wazungu walitupiga na vitu vizito
 
dini ni kama kilevi
 
Unatakiwa kujiuliza Hao Mitume wa Zamani hawakuteremshiwa Vitabu ila Wewe ukateremshiwa Kitabu

Hujiulizagi tu kwanini Mababu zako wa Kwanza Hawana Kitabu ila Wewe unacho
[emoji23][emoji23][emoji23] unatelemshiwa kitabu na Mungu alafu kina lugha moja ili wengine wakielewe inabidi wakifasiri,, huyu Mungu huyu anapitwa hadi na mtandao wa chrome,google unasoma kitu kwa lugha uipendayo katika maandishi hayo hayo ye alishindwa hata hili dogo kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumepigwa
 
Ipo hivi there is a super natural power which is unseen by naked eyes and that is God who created us and everything inside the world, our ancestors are created by God and we suppose to follow all the goodness made and taught by themselves and leave their badnes.

Nakubaliana na mtoa maada kwenye baadhi ya vipengele mfn dini hizi mpya babu zetu hawakua nazo ,they had their own way of worshiping na sisi haswaa ndo tulitakiwa tuzifuate hata sasa na daima ila walivyo kuja wazungu wakatuvuluga sana.

Mababu zetu waliweza omba mvua na ikanyesha ,waliweza fanya ama omba lolote wakapatiwa waliheshimu sana mila zao na tamaduni zao na hiyo ndo ilikuwa dini yao , dini waliyo omba nguvu waliyo iamini na ikawasaidia papo hapo.

NB; TUFUATE TAMADUNI ZETU, TUACHANE NA KINA MWAMPOSA ,GWAJIMA NA HIZI DINI LETWA TUFATE DINI YETU YA AFRICA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…