Huko Moshi nasikia umeme unakatika kila mara, ni kweli?

Huko Moshi nasikia umeme unakatika kila mara, ni kweli?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie.

Demand and Supply theory ita conclude
 
Tumeingia Moshi. Ila umeme kuna kukatika mara kwa mara...jana mchana kutwa..labda matengenezo....
 
Na hali ya barabara kuelekea moshi ipoje ?
Kuanzia kipande cha Liverpool kuelekea Same embu wenye ka picha au ka video mtupostie
 
Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie.

Demand and Supply theory ita conclude
Tatizo la umeme ni la nchi nzima mkuu. hapa tarime ni shida, kuna mtu yupo tabora kadai usiku wamelala gizani
 
Jiwe ameamua awanyooshe nini mwezi huu maana anajua watajazana huko ilimradi awaharibie shangwe😂
 
Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie.

Demand and Supply theory ita conclude
Tunasikia hakuna umeme asubuhi Hadi jioni leo ni siku ya saba.Engineer nyenye meneja wa tanesco mkoa kashindwa kazi
 
Tumeingia Moshi. Ila umeme kuna kukatika mara kwa mara...jana mchana kutwa..labda matengenezo....
....Labda ni Tatizo LA Kitaifa!
Huku Mbezi Mwisho ya Mor Rd toka wiki iliyopita Umeme unakatika katika ovyo had I siku mbili hizi tunalazimika kushinda mchana kutwa tukiwa tumelazimia kuzima main switch kwa kuogopa kuunguziwa Vyombo!
Na hakuna Kauli yoyote kutoka kwa Wahusika...
 
Back
Top Bottom