M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Aug 19, 2022 #1 Hii ni hatari watu Sasa hivi wanafanya upuzi kutafuta sifa za kijinga YouTube na TikTok. Kwenye hii video licha ya kuchekesha ingeleta madhara. Angalia nyundo ingemvunia Taya. Ujinga unaochekesha Your browser is not able to display this video.
Hii ni hatari watu Sasa hivi wanafanya upuzi kutafuta sifa za kijinga YouTube na TikTok. Kwenye hii video licha ya kuchekesha ingeleta madhara. Angalia nyundo ingemvunia Taya. Ujinga unaochekesha Your browser is not able to display this video.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 19, 2022 #2 INASIKITISHA SANA
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Aug 19, 2022 #3 Unasema KUTAFUTA LIKES wakati wenzio wanapiga hela?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 20, 2022 #5 Daah! Hadi mlemavu wa miguu katembea bila magongo