Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact.
Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu.
Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi.
Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa na kupigiwa mapande kuwa viongozi wa chama na serikali, imefikia hatua wanaona hii nchi na CCM ni mali ya familia yao.
Wapo radhi kuwaona wanasapoti ufisadi na kuwaona Watanzania ni mabwege.
My take: Ipo siku Watanzania watanyanyuka na hii CCM mnaodhania ni mali ya familia yenu itarudi mikononi mwa Watanzania.