Huko TFF Ally Saleh ameliamsha, analalamika TFF inambagua

Watu walipitisha kanuni mpya kimya wagombea wanakuja kujikuta baadhi vigezo hawana[emoji23]
 
Lakini si tumeshakubaliana kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika?
 
Tatizo la viongozi wengi hawajui sheria zinazoguide mambo wanayotaka kuyaongoza. Kwani TFF ni issue ya Muungano?
 
Watanganyika haya Mumeyataka wenyewe sasa yaanaanza kukushindeni, Inapokuja suala la kwenye maslahi kwenu munasema Zanzibar haimo. Inapo kuwa maslahi kwa Zanzibar tuu ndiyo inanufaika Munadai na nyiyi mumo ni suala la Pamoja.
Nyie vipi nyie Watanganyika?
Si munataka Umoja nyie na Usawa.
Ngojeni basi tuwafunze Umoja nausawa.
Si munadai kuwa sisi ni Ndugu moja, inakuwaje sasa?
 
Ikisikiliza kwa makini kabisa hoja za Ally Saleh zina mashiko.
 
Nani anataka umoja na usawa na nyie?
Watu mmejaa ubaguzi, mnautaka uraisi wa TFF hapo hapo mnautaka uanachama wa FIFA, mbona hamueleweki nyie watu?
 
U rais wamepata mara 2... umakamu wa rais ni wanapata kila awamu,,,,huku makabila kibao hayajawai kugusa ikulu wala umakamu. ila uspika tu wanaona wanaonewa
Hapo ktk ukabila umefeli kbsa
 
Kwani mpemba au mzanzibari siyo mtanzania?? Tuanzie apo
 
Tuna timu ya Taifa moja tu inayosimamiwa na TFF.
Tatizo la viongozi wengi hawajui sheria zinazoguide mambo wanayotaka kuyaongoza. Kwani TFF ni issue ya Muungano?
 
Kwann hamtaki kuwaruhusu kuwa wanachama wa caf kama ndio hvyo?
TFF haijawahi kuizuia ZFA kuwa mwanachama wa CAF au FIFA, kwanza haina ubavu huo, infact, maombi ya ZFA kuhusu uanachama wa CAF au FIFA hayahitaji udhamini wowote wa TFF. Ni wenyewe tu wanyooshe makongolo yao waende wakagonge milango ya CAF au FIFA, watapokelewa na kusikilizwa shida zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…