Huko Tuendako

Huko Tuendako

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya chuchu, mapaja na vitovu si kificho tena. Sasa je miaka hiyo ijayo kutakuwa na sehemu katika mwili wa binadamu itakayoitwa sehemu za siri?

Pili je ni wakati gani unapopata mvuto/hisia za kimapenzi, (tuchukulie mpo nyumbani kwenu, pengine mnakula, au mnaangalia tv au kazi nyingine yoyote kabla ya kwenda kulala/au kabla kabisa ya ngono) ni pale mwenzi wako anapokuwa uchi kabisa au anapokuwa na nguo angalau kidogo(kwa mfano kanga nyepesi kwa mwanamke na bukta kwa mwanaume).

Je ni vema kitu kitamu kionekane kiurahisi au iwe kinyume chake?
 
Wanawake w cku hz ht wavae mabaibui bado wanatamanisha!!
 
Fashion ya mavazi inajirudia. Watu wa zamani walikuwa wanaficha mbele na matiti kadri siku zilivyoenda wakawa wanavaa nguo tena za heshma. Kwahiyo tutakapofikia system ya kuficha mbele na matiti tu ujue tunakaribia kile kipindi cha kuvaa nguo za heshma
 
hisia hazihitaji umuone mtu ni mafeelings tu ambayo
hayajui mrembo kavaa baibui au yupo mtupu.
 
Fashion ya mavazi inajirudia. Watu wa zamani walikuwa wanaficha mbele na matiti kadri siku zilivyoenda wakawa wanavaa nguo tena za heshma. Kwahiyo tutakapofikia system ya kuficha mbele na matiti tu ujue tunakaribia kile kipindi cha kuvaa nguo za heshma

Aise kama vile unasema kweli, maana ni kweli fashion hujirudia lakini nadhani ulimwengu huu unapenda vitu vya ajabu ajabu tu.
 
Fashion ya mavazi inajirudia. Watu wa zamani walikuwa wanaficha mbele na matiti kadri siku zilivyoenda wakawa wanavaa nguo tena za heshma. Kwahiyo tutakapofikia system ya kuficha mbele na matiti tu ujue tunakaribia kile kipindi cha kuvaa nguo za heshma

Hahahahah........
 
Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya chuchu, mapaja na vitovu si kificho tena. Sasa je miaka hiyo ijayo kutakuwa na sehemu katika mwili wa binadamu itakayoitwa sehemu za siri?

Pili je ni wakati gani unapopata mvuto/hisia za kimapenzi, (tuchukulie mpo nyumbani kwenu, pengine mnakula, au mnaangalia tv au kazi nyingine yoyote kabla ya kwenda kulala/au kabla kabisa ya ngono) ni pale mwenzi wako anapokuwa uchi kabisa au anapokuwa na nguo angalau kidogo(kwa mfano kanga nyepesi kwa mwanamke na bukta kwa mwanaume). Je ni vema kitu kitamu kionekane kiurahisi au iwe kinyume chake?

Kuhusu hili kuna rafiki yangu toka Arabuni alikuja nitembelea,jinsi alivyokuwa anaona mabinti na wanawake watu wazima wanvyovaa akastaajabu.......alichosema ni kwamba inaonesha huku kwetu hakuna marijali....kwa maana nyingine watu washakuwa mahanisi wa kihisia....lakini wenyewe wanijitetea ni kwenda na wakati......akili ya binadamu ina kasumba mbaya sana,inaweza kuwa inachukia kitu,klakini taratibu kadri siku zinapoenda mazoea hujengeka na mwishowe mapenzi huja badala ya chuki.....hivyo basi zamani watu walikemea sana swala la kutembea wanawake nusu uchi lakini sasa kuna wanaume wengi tu huwanunulia wake zao nguo za ajabu ajabu.....na mwanamke kama anapenda kujistiri mume anamuona kapitwa na wakati! kazi kweli kweli!
 
Hii ni hatari kama baadhi ya wanaume ndio wanaochochea hali hiyo halafu hapohapo jamii ya wanaume ndio wanaonekana kulaumu wanawake kuvaa nusu uchi inakanganya, basi wanaume naomba tusaidie kuokoa maadili please.
 
Back
Top Bottom