Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya chuchu, mapaja na vitovu si kificho tena. Sasa je miaka hiyo ijayo kutakuwa na sehemu katika mwili wa binadamu itakayoitwa sehemu za siri?
Pili je ni wakati gani unapopata mvuto/hisia za kimapenzi, (tuchukulie mpo nyumbani kwenu, pengine mnakula, au mnaangalia tv au kazi nyingine yoyote kabla ya kwenda kulala/au kabla kabisa ya ngono) ni pale mwenzi wako anapokuwa uchi kabisa au anapokuwa na nguo angalau kidogo(kwa mfano kanga nyepesi kwa mwanamke na bukta kwa mwanaume).
Je ni vema kitu kitamu kionekane kiurahisi au iwe kinyume chake?