gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ni sisi na Mr slowslow kwanza mengine yatupisheHili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea
Yeah,kifo siyo usingizi wala kudensiKIFO NI KIFO
Slow slow chizi, mtungi wa gesi 20kg kwa buku mbili!!Ni sisi na Mr slowslow kwanza mengine yatupishe
Ana shida ya afya yule,mkononi ana baka jeusi kama alilokua nalo malkia Eliza punde kabla ya kufaIsije ikawa wazee wa mtandao wamarekani au Urusi wamefanya yao baada ya Tdrump kukutana na Putin ili kuchochea vita zao.
Ipi hiyo mkuu ,unaweza tupa hints kidogo.Ana shida ya afya yule,mkononi ana baka jeusi kama alilokua nalo malkia Eliza punde kabla ya kufa
Mbona lilisemwa na daktari mmoja hukohukoIpi hiyo mkuu ,unaweza tupa hints kidogo.
Ila ukiangalia trend ya marekani kwa sasa duniani unaona kabisa ni nchi inayopeteza ushawishi na usuper power kwa kasi sana.Vita ya Trump na bara uropa inafanana kabisa na vita ya sukumagang/wazalendo na mafisadi/wanamtandao..
Free fall mzee,miaka 15 ijayo watakua nothingIla ukiangalia trend ya marekani kwa sasa duniani unaona kabisa ni nchi inayopeteza ushawishi na usuper power kwa kasi sana.
Kabisa hasa kukumbatia ushoga na mambo ya hovyo.wakati huo huo China kasi inazidi kua kubwa kuna muda najiuliza asingeibuka mchina kurahisisha maisha sijui ingekuaje aiseee miaka 15 nyuma ukiwa na smart phone wewe Don. Nakumbuka school nilikua na Nokia N75 shobo zilikua kibao yaani inaonekana simu kali lakini sasa simu hata ukiwa nayo ya 10M sio big deal tena.Free fall mzee,miaka 15 ijayo watakua nothing