Ni kweli kabisa ndio maana wanaokaribia kupoteza wanataka dunia iingie tena kwenye vita kubwa ili baada ya vita waunde tena kamati yao ya kuendelea kuichapa dunia kwa maslahi yao ila Trump anaonekana kutaka kuwatumia wao kama nguvukazi yakeIla ukiangalia trend ya marekani kwa sasa duniani unaona kabisa ni nchi inayopeteza ushawishi na usuper power kwa kasi sana.
Mimi hapa Masalawe natumia biogas bure kabisa.Slow slow chizi, mtungi wa gesi 20kg kwa buku mbili!!
Shida ilianza alipokutana na jasusi kuu la Dunia, Putin.Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea
Wewe hutaki zakwenu dili za watu mataifa ya kizalendo hizo nihuduma za msingi za kijamii,sio kwa mataifa haya ya dilina watu dili.Slow slow chizi, mtungi wa gesi 20kg kwa buku mbili!!
Huku kwetu lini mkuu? hujasikia fununu?Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea
πππππClassmate alikua mtu poa sana....π₯
Donald Trump has been photographed playing golf at his resort in Virginia, putting to rest the wave of bizarre death rumours that have been circulating online. The former president was seen in a white polo shirt, his signature red MAGA hat and black trousers as he teed off on the course, appearing relaxed and unbothered by the speculation surrounding him.Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea
Wapenzi wa habari mbaya, sijajua kuna nini kuhusu Watanzania na taarifa mbaya. Wanazipenda kuliko ngonoHili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea