Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

Hajavimba uso?
 
Yupo hai bwana,maisha marefu kwake
Video ya kofia nyekundu ni ya June,video anayopanda gari chapu inazua maswali,uso umevimba,kapandishwa gari chapu kwa msaada wa ngazi, halafu hajaongea na Media walau kupunga mkono au kunja ngumi kama kawaida yake
 
Lugha ya malkia achana nayo
Yaani sijataka hata kujisumbua kubishana na wewe, endelea kujifunza lugha ya malkia,najua shule za kata zita-improve later
 

Attachments

  • Screenshot_2025-08-31-08-02-51-291.jpg
    398.3 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…