Hukoo... Utotoni.....!

Hukoo... Utotoni.....!

Simeon

Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
61
Reaction score
20
Zamani tulikuwa tunacheza ki baba na mama,alafu tunafanya matusi kinguo nguo,siha ash sihhaah....!af tunaambiana na kesho eeee....!
wewe ulikuwa unafanyaje?
 
Mkuu Simeon ungeanza wewe kutuelezea kinaga unaga ulivyokuwa unafanya, hakuna kufanya kinguonguo
 
Mi nlikuwa nafanya hivo hivo kinguo nguo tena kwa kusimama,haya sema na wewe sasa
 
hivi kwanini umekua lakini bado unadanganya? hivi kuna kufanya kinguo-nguo kweli????? hii debate tulishawahi kuifanya wakati bado niko shule and ni kwamba watu wengi waliocheza this kimama mama business walifanya kweli
 
Inasemekana kama mtu hakupitia stage fulani katika maisha yake, ipo hatari akairudia akiwa ukubwani na hapo ndipo huonekana kichekesho na kusemwa "yaani mtu mzima ovyo!". Kinguonguo ilikuwepo sana, tena ilikuwa mvulana unahesabu kabisa kwamba fulani tayari, yule tayari na huyu tayari lakini wote kinguonguo. Utandawazi umeondoa mambo haya watoto wanafanya kweli, matokeo yake tunayaona watoto wanazaa watoto wenzao, maradhi lukuki n.k. Simeon amesema kweli, nimependa neno "matusi" kwani ilikuwa ni jambo la fedheha siyo kama sasa mtu anaaga kabisa kunanihii.
 
mimi nlikuwa natoa mashine, nagonga kitu mpaka inachubuka hakuna kumwaga wala nini! baadae natoa mashine nje najikaza navuta mkojo nakojoa kwa nje ya dudu, kuna nini fela?
 
Mkubwa umenirudisha mbali vibaya mno,kwamba huyu tayari na yule tayari,na ukiambiwa flani mchumba wako!kama yuko hovyo utalia vibaya sana kama siyo kuzua ugomvi,na wakati huo nanihii ya kiume akina mama walikuwa wanaiita nyau.Ni kweli ukiruka ha2a flani kutakuwa na compesation ukubwani,lakini ukifanya sana pia utareate fixation,utaendelea na tabia hiyo hata ukubwani
 
mimi nlikuwa natoa mashine, nagonga kitu mpaka inachubuka hakuna kumwaga wala nini! baadae natoa mashine nje najikaza navuta mkojo nakojoa kwa nje ya dudu, kuna nini fela?

Duuh,si utani kaka ulikuwa juu,angalia usiendelee na masculine katika sex ni hatari,ni risk ya kupata magonjwa
 
mmmh,uswahilini......utotoni tulikuwa tunakunya nyuma ya nyumba,tumejipanga huku tunachunguliana,magovi nje nje,e bwana we!
 
Back
Top Bottom