ni kweli ze mangi, wewe si unawaza hela tu, ila leo ni 2014"HAPPY NEW YEAR
2012"
duh,huu mwaka umeanza vizurieee,mh japo ckumbuki leo ni tarehe ngapi!Jamani tusherehekee wote mwaka mpyaaaaa....
siyo sikukuu ya Eid mubarak wewe....unafikiri sijui kwamba ni sikukuu ya kusherehekea mwaka mpya?sidanganyikiii...
teh teh teh.,we acha 2,huwa ukiulizwa ni saa ngapi?unajibu...asbuh,mchana au jion utakavyojisikia,kumbuka tu kwamba huku nilipo sio uchagani ila ni maeneo fulan ambapo daladala kwao ni baiskel.eti Ze Mangi nasikia huwa mnajua muda kwa kutazama jua,
je siku jua lisipo waka huwa inakuwaje??
panaitwa Ilangasika,nilipakia gari hadi mwanza,nikalala guest maana nilifika sa4 ucku,asubuh nikavuka kamanga ferry nikapakia coaster had geita,nikapakia mchomoko (vigari vidogo vya biashara NOAH,GYPSUM etc..)hadi sehemu 1 inaitwa katoro,nikapakia tena mchomoko hadi Lwamgasa,nikapakia daladala(pikipiki)hadi kilombero moja(sio ya moro lkn)hapo nikaanza kuchanja mbuga kwa mguu kama KM 4 hivi ikawa ni saa 1 jion,ikabidi kumpigia mwenyeji cm akaniambia nilale hapo kesho niendlee na safr,nikalala sehem yenyewe inaitwa Bukoli,kesho yake mwenyeji akanifuata haooo kwa miguu hadi 2kafika ILANGASIKA katika maisha yangu sikutegemea kuwa Tz kuna mazingira kama haya,ni noma,sikufichi huduma za kijamii hakuna hosp.,wtt(s/m) wanatembea km 7 ndo wafike shule.,nilichopapendea tu ni kwamba mh!kuna mabinti wazur we acha 2,ila maskini hawajui chochote.Ahahahaah!! Hivi uko nchi gani zemangi.