Huku Diamond na wenzake, kule Reginald Mengi na wenzake!

Umesahau mzee ndesamburo mara kibao anawakodishia ccm chopa zake, mbona hawasemi?
 
na ipo siku neno usaliti mtalielewa vizur babu slaa atakaposimama mbele ya media
 

Hapo ndipo ninapotofautiana naye,,Kama kalipwa hadi kuipigia kampeni hapo mie ndio naona basi keshahamua kukipenda chama.Anyway ana uhuru wake ,,na mara nyingi ukishaamua kuipigia kampeni extensively chama cha siasa Fulani unakuwa unakisupport na kukipenda (sio kibiashara pekee Kama unavyosema) ,unajua siasa ziko too emotions siku hizi wacha watu waonyeshe hisia zao.
 

Mengi hapigi kampeni mkuu diamond anapiga huoni tofauti hapo??all in all ni uamuzi wake,,,nafikiri na baadhi ya mashabiki wake kumpinga ni uamuzi wao pia,,,uheshimiwe pia,,,
 
Hivi ulikuwa na sababu ya ku-quote post yooooooooooote hiyo na kisha kuandika maneno matatu tu?!

Mkuu chige huyo achana nae kwa sababu zifuatazo:-
1:hajakuelewa kabisa ulichozungumza,points ulizotema ni nzito mno kwake kuzielewa.
2:hajui jinsi ya ku-quote post kipande.
3:bavicha ndo walivyo,yaani kwao uwezo wa kufikiri kwao ni almost negligible.
 
Last edited by a moderator:
diamond tatizo lake yeye n kupost post zake za kibaguzi, haon kama anawagawa mashabiki..
na ww mleta uz plk mndku hukoo, na uache kutokwa povu
 

Ukiona msanii anafanya show katika chama cha siasa pia ujue sio bure bali analipwa tena dau kubwa, pale ni sehemu ya kazi yake na ndio wakati wao wa kuvuna kama ilivyo media
 
Guys... hakuna ushabiki pale, let's not take it too personal... it's all about business! Diamond hana tofauti yoyote na JF walioweka tangazo hapo juu la kampeni za CCM! Na hatakuwa tofauti na kampuni za matangazo ambao nao wataanza kusambaza mabango nchi nzima wakati si ajabu wengine wana kadi za vyama vya upinzani! Suala la mashabiki lisiwe excuse ya watu kufanya biashara wakati mashabiki wenyewe tunaishia kusikiliza nyimbo bila kuzilipia! Pale ilikuwa ni one of the two... ama akubaliane na CCM pamoja na masharti yao, presumably ikiwa ni pamoja na kutumia a/c zake kufanya kampeni au akatae mchongo! Hapa sitaki kuwa mnafiki... hakuna mwenye ubavu wa kukataa mchongo wa millions of Tsh... hata sisi wenyewe tunaosema hapa hakuna ambae angekataa!
 
Mengi hapigi kampeni mkuu diamond anapiga huoni tofauti hapo??all in all ni uamuzi wake,,,nafikiri na baadhi ya mashabiki wake kumpinga ni uamuzi wao pia,,,uheshimiwe pia,,,
Haa! Acha masihara ndugu yangu! Sawa, Mengi hapigi kampeni lakini hivi ni nani ana impact kubwa katika hili... Diamond aliyepanda jukwaani au Mengi na wenzake walioonesha na wataendelea kuonesha nchi nzima?
 

Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, mi binafsi nilikuwa simkubali kabisa diamond lkn baada ya yeye kuwa mpiga kampeni wa ccm hivi sasa namkubali hasa.
Kwahiyo kuna gain and lose,ame-lose kwako ila ame-gain kwangu.
Waacheni wasanii wetu wapige hela bhana, Matola kaulizwa swali hapa kuwa yeye ni bavicha pure na kwa mfano angekuwa anamiliki mabasi na ccm wanataka kuyakodi angekataa? Hakujibu hilo swali
 
Last edited by a moderator:
Trust me, inawezekana kweli yeye anakiunga mkono lakini pale is all about business! Ndugu, kama wewe si mgeni wa akaunti za Diamond, hujiulizi ni kwanini aibuke sasa wakati CCM ilikuwepo miaka yote hii? Kwanini kila wakati aibuke kipindi cha kampeni na wala humuoni kwenye kampeni za akina Ndungulile maskini wenzetu zaidi ya za akina Dewji wenye kisu kikali?!
 
Unafikiri mengi na bakhresa kwa akili yako ya kilofa na kipumbavu wameonyesha hicho kipindi bure?
 
Umesahau mzee ndesamburo mara kibao anawakodishia ccm chopa zake, mbona hawasemi?
Ahsante, nilikuwa sifahamu... nimeitafuta hiyo habari na nimeiona na kwa kuweka kumbukumbu sawa, nimeiweka kwenye thread kuu!!
 

Ni great thinker gani mwenye uwezo wa kugundua kuwa Mengi ni haki yake ku-make money as a company afu Diamond hasiwe na haki hiyo ya ku-make money eti kisa ni public figure?
Wote Mengi na Diamond wana-deal na jamii direct na kama hujui kama Mengi ana-deal na jamii rejea lile sakata la kubadili mfumo wa urushaji matangazo ya radio na Tv station kutoka analogy to digital,unakumbuka jinsi Mengi alivyowaka? Kama unakumbuka unajua kwanini aliwaka?
Eti GT,am hesitating to call you a fool,basi tu
 
Mleta mada usie na akili nani alie kuroga,,, watu wako serious na nchi wewe unakuja na uzi wa kumtetea diamond,,, shame on you
 
yani wewe na mleta mada wote sawa nilikuwa sitaki kukujibu ila wacha nikujibu tu simple like this.

ukitaka kupata usawa ni kumlinganisha domo na kiba, wema, jux, na wanamuziki na waigizaji wengine.

ukitaka kupata usawa ni kumlinganisha Mengi na baresa, manji, na wafanya biashara wengine

wote kwa pamoja kwenye uwanja wa siasa na kuendana na nafasi zao na kazi zo wanazofanya lakini unamlinganisha Mengi na muuza mitumba flani na muimba michiriku domo????? you must be not serious domo kamlinganishe na genge lake wanaoendana nae na sio Mzee Mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…