Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
We ni mtalaamu sana wa matusi enh?
Hakuna ulichoongea ingawaje kwa muda mrefu unajifanya kujua sana wakati hamna kitu! Anayeuza mitumba, mihogo, meli, kuku wa kienyeji n.k wote ni wafanyabiashara! Huwezi kutetea akina Mengi kufanya biashara na CCM halafu uponde akina Diamond wakati end result ni ile ile... wote wapo kibiashara na wote wanafanikisha kampeni za CCM... final product is the same!yani wewe na mleta mada wote sawa nilikuwa sitaki kukujibu ila wacha nikujibu tu simple like this.
ukitaka kupata usawa ni kumlinganisha domo na kiba, wema, jux, na wanamuziki na waigizaji wengine.
ukitaka kupata usawa ni kumlinganisha Mengi na baresa, manji, na wafanya biashara wengine
wote kwa pamoja kwenye uwanja wa siasa na kuendana na nafasi zao na kazi zo wanazofanya lakini unamlinganisha Mengi na muuza mitumba flani na muimba michiriku domo????? you must be not serious domo kamlinganishe na genge lake wanaoendana nae na sio Mzee Mengi.
Basi na wewe jiheshimu usiye na akili uliyerogwa!Jiheshimu wewe,,,hakuna tusi hapo
Basi na wewe jiheshimu usiye na akili uliyerogwa!
Hivi na wewe ni Great Thinker wa JF?! E bhana ehee... yaani nakuonea gere ile mbaya Mr. GT! Lakini GT wewe unaonekana unapenda shari ile mbaya sijui shari zenyewe unaziweza au unataka kujifunza manake hamkawagi kulia lia nyinyi watu wakiwachenjia but at least for now, nitajifanya mjinga mbele yako and I hope you'll respect that compliment!Kumbe imekuuma? Ulitamani uwe wewe uliyesema hayo maneno,,,, sasa ni hivi siku nyingine utumie kichwa wakati wa kufikiri unapoleta mada sehemu kama hii acha kutumia makalio yako kufikiri,,,, unaleta mambo ya diamond na kiba humu,,,, hayo mambo peleka facebook mkabishane na watoto wenzako,,, humu ni great thinkers ONLY.
Mkuu Freeland vp? Nani alikuambia hao akina ITV wanafanya kazi ya media? Wanafanya biashara wale... wakati mmoja amechagua muziki mwingine ameamua kuwekeza kwenye media na mwisho wa mchezo wote wanafanya hayo ONLY FOR MONEY!!!Ingekuwa busara zaidi kwa msanii kukaa mbali na siasa
Azam na ITV ni kufanya kazi ya media ambayo ni kazi yao
Wasanii hapana...Subirini anguko lao...Time will tell
Hapa ndipo utakapoona watu wanafiki! Hapa wanajifanya mwanamuziki kushiriki siasa lakini deep inside of their hearts kinachowauma ni msanii kukipigia kampeni chama wasichokipenda wao! The problem ni kwamba watu hatutaki kutofautisha maisha ya msanii kama msanii na maisha ya msanii kama mtu binafsi mwenye haki zote sawa na sisi na kisingizio chao ndo hicho msanii ana mashabiki! JF wenyewe wamebandika bango la CCM hapo juu wakati kwa muda mrefu JF imekuwa ikipokea michango ya members bila kujali vyama lakii huwezi kusikia wakiishutumu JF kwa kuweka mabango ya CCM!Kumchukia msanii kisa anashabikia chama tofauti na wewe ni ujinga ... Muda mwingine unaweza kuta mtu anapiga kelele ukimuuliza ushawahi nunua wimbo wa msanii huyo (mkito) atakujibu hapana (kapakua bure au karushiwa), ukimuuliza ushawahi kwenda kwenye show zake utakuta pia hapana (zaidi ya kusubiri show za bure akaingie) unategemea atakula hizo followers za social network?
Kupigia kura chama Fulani kisa msanii Fulani anakipigia kampeni huku wewe ukishindwa kupima hoja ni upumbavu na ulofa (in Uncle Ben voice)
Mkuu Freeland vp? Nani alikuambia hao akina ITV wanafanya kazi ya media? Wanafanya biashara wale... wakati mmoja amechagua muziki mwingine ameamua kuwekeza kwenye media na mwisho wa mchezo wote wanafanya hayo ONLY FOR MONEY!!!
Hilo suala la anguko mnalizungumzia sana lakini wooooooooooote hakuna wanayemtolea mfano zaidi ya Marlaw wakati kila mmoja anafahamu Marlaw aliachana na muziki mara baada ya kufunga ndoa na Besta coz' hata na Besta mwenyewe nae akaachana na muziki lakini kinyume chake, wale ambao walifanya kampeni 2010 hadi leo wapo na hawajapotea kama ramli za anguko linavyoendelea kurindima!
umeandika pumba tupu na sijaelewa inakuwaje umekuwa kilaza kiasi hicho ITV ikirusha mkutano wowote live au recorded tofauti na kwenye taarifa ya habari au makala nyingine za kawaida ujue hiyo airtime imenunuliwa na chama husika na wala sio meneja anatangaza bure, they are paying a lot of money to buy airtime its not for free.
Duh! Kwahiyo inaelekea unausubiri kwa hamu muda wa kuona downfall ya mwenzako!! Anyway, Diamond na wasanii wengine wooooooooooooooooote wanaweza kupotea na CCM ikaendelea kuwapo madarakani coz' wanaofanya CCM iendelee kuwa madarakani sio wasanii na ndio maana nashangaa kuona watu wanatumia lots of energy kuwasemanga wasanii wakati kuna watu ambao ndio hasa wanai-support CCM kwa ari na mali kuhakikisha haiondoki madarakani!Sitaki tubishane
Tusubiri
Muda ni jibu kwa kila kitu
Duh! Kwahiyo inaelekea unausubiri kwa hamu muda wa kuona downfall ya mwenzako!! Anyway, Diamond na wasanii wengine wooooooooooooooooote wanaweza kupotea na CCM ikaendelea kuwapo madarakani coz' wanaofanya CCM iendelee kuwa madarakani sio wasanii na ndio maana nashangaa kuona watu wanatumia lots of energy kuwasemanga wasanii wakati kuna watu ambao ndio hasa wanai-support CCM kwa ari na mali kuhakikisha haiondoki madarakani!
Nimesema kiufupi tu
Tusibishane
Siwezi kumtakia mtu kuanguka kwa sababu anayetoa ni Mungu
Nimetoa maoni yangu
Wacha nikupuuze manake wewe ni mmoja tu wa wale wanaojifanya wana uchungu sana na nchi hii kuliko wenzao wakati wengi wenu ni bendera tu fuata upepo!!! Angalia hao JF na wao wamekunja mpunga wa CCM halafu nyie mnaleta siasa kwenye kazi za watu!!!!Ndugu yangu nadhani una busara nzuri mimi kama mm nimekuelewa,,,, ya kuwa hauitaki ccm na njama zake zote ,,,, mleta mada hana cha maana alicholeta zaidi ya kujifanya haitaki ccm lakini anamtaka diamond,,, alaf anajifanya anasema cjui kiba mchongo hajapata,,,hatutaki ushabiki wa wanamuziki muda huu wa kampeni huu sio muda wa mzaha kama tunataka ccm itoke madarakani mapenzi yetu na watu fulani tuyaweke mbali,,,,sio vema tusiwasapot bali wasitufos kubadili mitazamo yetu juu ya kile tunachokiamini
Sasa suala la kubishana linatoka wapi? Mie nimeweka uzi, wewe umechangia na mimi nikachangia post yako na mara hii inakuwa kubishana tena?! Anyway, have a good day!Nimesema kiufupi tu
Tusibishane
Siwezi kumtakia mtu kuanguka kwa sababu anayetoa ni Mungu
Nimetoa maoni yangu
Narudia, usijifanye unanijua wakati hunijui... yaani kweli unaamini kabisa una cha kuniambia wewe kwenye masuala ya kisiasa wakati tangu niingie JF nimekuwa mwanachama muaminifu zaidi wa jukwaa la siasa kuliko jukwaa lingine lolote lile!!!!Tatizo mleta uzi yeye ni shabiki wa muziki na hasa anampenda diamond sasa akajionea kuwa diamond anaishabikia ccm na nikuambie tu ndugu yangu yule hajaanza Ieo na kwa taarifa yako yule na wema sepetu wanachama halali wa ccm pamoja na familia zao,,, ccm inajaribu kuwatumia ili kutushawishi kama ambavyo imemteka mleta mada,,,ninachojaribu kusema ni kwamba sio dhambi kushabikia ccm lakini mleta mada kuwa wazi pia uwe na msimamo sehemu unaposimamia... usije yumbishwa na watu fulani