Huku E-FM kumekucha, yule mrithi wa kiti cha Maulid Kitenge amepatikana

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Mteule wa JOTO LA ASUBUHI Mh. Mangele Seteve Nyerere, Amekula kiapo na kuanza majukumu yake katika kuhakikisha mskilizaji wa E-fm anapata habari na uchambuzi was magazeti.

Mwanzo mwisho burudani

Imeandikwa:
Exalioth
Mtumiaji wa:
Jamiiforum
 

Attachments

  • Screenshot_20191025-142718.jpeg
    65.6 KB · Views: 3
Uandishi wa habari siku hizi umekuwa rahisi,mpaka ma-professional upande wa ukuwadi sasa hivi nao waandishi wa habari.
Acheni ungese kama kasomea tatizo nn. Achen watu wapate rizik zao..Kavamien kama ni rahisi ..na nyie
 
Aisee! Kuna video clip kwenye yuotube anaonyesha mapokezi ya akina kitengekule walipoenda. Nina maswali kadhaa na mwenye majibu anisaidie:
Je, wale watu (umati) waliokuwa wanashangilia walikuwa akina nani na walitoka wapi!?
Na je, kwe event ile kulikuwa na hiyo haja au ni kielelezo cha kutokuwa na kazi za kufanya au kuhalalisha Watanzania tulivyokuwa ranked kama miongoni mwa watu wazembe (lazy) Africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…