mhugo hantish
Senior Member
- Apr 21, 2015
- 137
- 36
Watazipata tuu kaka ucjali haya ni mambo mazuri na muhimu sana katika jamii yetu.Pamoja na kuahirisha tarehe 30.4.2015 ya kuipigia kura katiba inayopendekezwa bado vijijini kumekua na sintofahamu juu ya katiba hiyo. Nitumie fursa hii kuiomba bunge maalum la katiba kua inatakiwa zitolewe nakala za kutosha kuwafikia wananchi hasa vijijini. Baadhi hawajui kusoma hata kuandika Lakini wana mawazo ya kujenga taifa letu. Hiyo ni changamoto kwa waelimishaji.
Pamoja na kuahirisha tarehe 30.4.2015 ya kuipigia kura katiba inayopendekezwa bado vijijini kumekua na sintofahamu juu ya katiba hiyo. Nitumie fursa hii kuiomba bunge maalum la katiba kua inatakiwa zitolewe nakala za kutosha kuwafikia wananchi hasa vijijini. Baadhi hawajui kusoma hata kuandika Lakini wana mawazo ya kujenga taifa letu. Hiyo ni changamoto kwa waelimishaji.
Mtu anakosa cha kuandika JF anaona bora aandike kitu cha uongo anachojiskia yeye. Kwa asilimia kubwa vijiji vyote vimeshapata Katiba zinazopendekezwa sema tu changamoto ni uchache. Lakini jamaa kaja na hoja ya kijuha hapa kuonyesha kwamba Usuka hazijapelekwa kabisa Katiba. Hata mimi napafahamu sana Usuka.
Pamoja na kuahirisha tarehe 30.4.2015 ya kuipigia kura katiba inayopendekezwa bado vijijini kumekua na sintofahamu juu ya katiba hiyo. Nitumie fursa hii kuiomba bunge maalum la katiba kua inatakiwa zitolewe nakala za kutosha kuwafikia wananchi hasa vijijini. Baadhi hawajui kusoma hata kuandika Lakini wana mawazo ya kujenga taifa letu. Hiyo ni changamoto kwa waelimishaji.
Watazipata tuu kaka ucjali haya ni mambo mazuri na muhimu sana katika jamii yetu.
Hakuna sehemu nyingi tu hiyo katiba inayopendekezwa.
npe picha hizo. Najua hutokosa ya KINANA.
Zitaje hizo sehemu sio kufata mkumbo tuuuHakuna sehemu nyingi tu hiyo katiba inayopendekezwa.
We vp umekunywa viroba asubuhi au, mbna hoja yako tata? Ebu weka sawa ujibiwe vema.npe picha hizo. Najua hutokosa ya KINANA.