Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
 
I think kila mtu ana definition yake ya utajiri mkuu, kuna mwingine atakupinga hata wewe atakwambia kwake bora bank kusome zero ila awe amewekeza kwenye vitega uchumi (pesa ya mzunguko)
Wengine utajiri wetu upo kwenye knowledge hayo mengine ni matokeo
 
Back
Top Bottom