Mambo mengine sio hata ya kuuliza, soooooo obvious jamani sasa nikae na manzi mwenzangu wa nn?? si tutaishia umbea tuuu njia nzima:juggle:Umeingia kwenye Bus una safiri, safari inayochukua zaidi ya masaa 20.
Hukuwahi kukata ticket mapema, kondakta anakwambia zimebaki nafasi mbili ambapo unakuta seat ni
2 x 2 (abiria wawiliwawili) seat moja kuna Mwanaume na nyingine kuna Mwanamke na hakuna unaefahamiana nae (kama inavyokua mara nyingi safarini unaekaa nae siti moja sharti la kufahamiana halina lazima)
Swali : Ikiwa wewe ni Mwanamke ungependa/ungejisikia ukae na wajinsia ipi ?.
Na wewe Mwanaume ungejisikia uchague kupi ? Na huko utakapokuchagua wewe Mwanamke/Mwanaume nini sababu ya kuchagua ?
spendiiii,kukaaa na mbibiiii,mbabuuuu au mamaa mwenyee mtoto mdogo,kuna mitoto mikorofiii....umeshikaa paja lako la kuku mara kakopokonyaaa,unasomaa gazetiii mara ka chanaaa,mara kanyaaa mama anataka kumbadilisha nepi anakuomba umshikie...yani safari utaiyonaa chungu,kwaa mapigo hayo nibora nikae na jinsia mojaaa....ila kama ni kibinti kinda kindaki aaaah najitosha live kukaanacho uwezi jua mwisho wasiku nikachukua mtego[number].mara nyingi nikikata teketi na wambia kabisaa nipangieni na kabintii jamani safari iwee fupi
Mambo mengine sio hata ya kuuliza, soooooo obvious jamani sasa nikae na manzi mwenzangu wa nn?? si tutaishia umbea tuuu njia nzima:juggle:
Me nikisafiri bila kukaa na msichana huwa cjickii raha kabisa,,sa nikae na likaka lenzangu ili iweje?
Mkuu respect nimecheka sana, sifa ulizo zitaja zinaendana na za kwangu watoto wengine wanaziogopa sura zetu kwa kataenda kanalia safari nzima. Nitarudi baadae kidogo