Umenikumbusha siku zile nikiwa naenda chuo Moro kutokea Moshi.. nawahi kukata ticket ya Hood siku 1 kabla ya safar, then nampa mkata tiketi buku tano namwambia ahahakikishe safari yangu inakuwa ya kufurahisha. Aisee yule mkata ticket alikuwa hafanyagi makosa... Nilikuwa napangiwa mademu wakali hadi bas.... hata hivyo kati ya safari zaidi ya kumi, wawili tu waliwahi kuingia line... dah! Sijui sikufahamu kutongoza!!!
Safety ! Hii sasa niko kwenye Daladala huku navinjari na majukwaa nimepasukwa cheko! Abiria wananishangaa!