Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.

Taarifa: Ikulu Tanzania

Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi Mbele ( Ulaya na Marekani ) kamwe Akili zako haziwezi kuwa za hovyo hovyo, ila utakuwa tu ni Mtu ( Binadamu ) wa Maendeleo, Mwerevu na mpenda Kuthubutu na kufanya Makubwa kwa Jamii.
 
Asking for a friend.
Kitila na kalamaganda wamewahi kuandika vitabu?
Ningependa kusoma kitabu Cha kabugi.
 
Huku kwetu miaka 9 hata maji ananywea kwenye kikombe cha plastic maana glass tunasema acha hiyo utavunja.

Maprofesa wetu hawataki shida na wanajua wakiandika watu wakisoma watachukua akili zao.

They're real relaxing waiting kuteuliwa only that
 
Huko Nchi za wenzetu, Dola zinasaidia kazi za wasomi kwa manufaa mapana ya nchi, huku Dola inakupa cheo cha siasa.
Ona yule Daktari aliyepelekwa kuwa Katibu Mkuu, alivyomalizwa.
 
Asking for a friend.
Kitila na kalamaganda wamewahi kuandika vitabu?
Ningependa kusoma kitabu Cha kabugi.
Unaweza kuwa Professor bila ku publish chochote?

Una low class digrii?

Mleta mada naye Nadhani mmojawao wenye vidigrii vya low class walipwa digrii na Vyuo vikuu uchwara
 
Back
Top Bottom