Za juma pili!!!
Huku kwetu wazee tuna vijana wengi tu wenye hayo majina tena mfano huyu dogo kikwete kazaliwa mwaka mmoja baada ya mzee kikwete kuingia madarakani
Basi utasikia wazazi wao wakiitwa
Baba kikwete
Mama mkapa
Mama mwinyi n.k
Mimi ni mpenzi sana kusikiliza vipindi vya Watoto, na Huwa wanaulizwa ukiwa mkubwa unapenda kuwa kama nani ? Watataja Nyerere, Mkapa, Kikwete lakini sihljawahi sikia wakitaja Magufuli.