warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo
Jacqueline Fitzpatrick Cliff Jack Patrick akiwa nyuma
ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya unga
nchini China, mumewe , Abdulatif Fundikira Tif
amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha
Israel, Amani linakupa mchapo kamili.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini , uhusiano wa Salha na
Tif uliibuka na kushamiri mwaka jana baada ya Jack
kukamatwa na unga huo. Penzi lao liliibuka ghafla tu ,
jamaa naona ana aleji na warembo wenye majina yao
maana penzi lake na Jack lilipoyumba na kisha
mrembo huyo kukamatwa na madawa ya kulevya nchini
China, fasta akaanzisha uhusiano na Salha , kilisema
chanzo hicho .
UMAARUFU WA JACK UPOJE ?
Jack ni mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2006
akitokea Miss Ilala lakini umaarufu wake ulizidi kukua
baada ya kushiriki kama video queen katika video
mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bongo Fleva
ikiwemo video ya She Got Gwan ya marehemu Albert
Mangwea.
Miss Tanzania 2011, Salha Israel akipozi.
VYANZO VINGINE
Hata hivyo , vyanzo vingine vimeeleza kuwa , Jack na
mumewe walikuwa na mgogoro mzito kabla modo huyo
hajakamatwa na madawa ya kulevya . Walikuwa na
mgogoro, ilifika wakati Jack alikuwa akidai talaka
mahakamani lakini bahati mbaya kabla hajafanikiwa
kupewa akaswekwa nyuma ya ndondo, kilieleza
chanzo hicho .
NDOA ILIVYOFUNGWA
Chanzo chetu kilichoshuhudia tukio hilo la siri kilieleza
kuwa, Tif na Salha walifunga ndoa ya kiserikali
Jumapili iliyopita Sinza- Mori jijini Dar , nyumbani kwa
wazazi wa Salha ambapo sherehe hiyo ilihudhuriwa na
watu wachache ikisemekana ndugu wa pande zote
mbili ndiyo walitawala zaidi .
Kwenye hiyo ndoa hakukuwa na watu wengi, sanasana
ndugu tena ilifungwa kwa siri sana , hawakupenda watu
wengi wajue kuhusiana na shughuli hiyo , hata wapiga
picha walizuiwa kabisa kupiga picha katika simu zao ,
kilisema chanzo hicho .
Mwanamitindo , Jacqueline Fitzpatrick Cliff Jack
Patrick .
PICHA ZAPATIKANA
Katika kufukunyua uthibitisho wa taarifa hizo,
mwanahabari wetu alifanikiwa kuzinasa picha za tukio
hilo ambazo zinamuonesha Salha akiwa na Abdulatif
pamoja na ndugu wachache wa pande zote mbili muda
mfupi baada ya ndoa kufungwa.
JACK ATONYWA
Wakati mwanahabari wetu akizidi kuichimba habari
hiyo juzi , alikutana ndugu wa Jack ambaye hakupenda
jina lake liandikwe gazetini. Alikiri kusikia ndoa hiyo na
kuweka wazi kuwa taarifa zimemfikia Jack na
kumfanya apate presha .
Jack amepelekewa taarifa hizo Jumapili ileile ,
ameshtuka na presha ikampanda ingawa
haikumchukua muda mrefu akarudi katika hali yake ya
kawaida maana si unajua Jack na Salha ni marafiki!
alisema ndugu huyo .
Jack Patrick wakati akifunga ndoa na mumewe
Abdulatif Fundikira Tif .
SALHA ANASEMAJE ?
Amani lilimtafuta Salha kwa njia ya simu ili kujua
anazungumziaje ndoa yake hiyo na Tof lakini simu
yake haikuwa hewani muda mrefu .
Amani linaendelea kumtafuta, akipatikana atafunguka
kwa kirefu zaidi .
TUJIKUMBUSHE
Tif na Jack walifunga ndoa Desemba 3, 2011 katika
ufukwe wa Hoteli ya Coral , Masaki jijini Dar es Salaam .
Ndoa hiyo ilifungwa na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni , Hatibu Benard .
Mwaka mmoja baadaye, ndoa hiyo iliingia mdudu
ambapo mzozo kwa wawili huo uliibuka kiasi cha
kufikia hata Jack kushindwa kufika Gereza la Keko , Dar
pale Tif alipotupwa mahabusu kwa madai ya
kujihusisha na madawa ya kulevya . Mwishowe wawili
hao walimwagana na Jack kupata msala na yeye wa
kukutwa na madawa ya kulevya nchini China, Desemba
mwaka jana ambako alihukumiwa kifungo cha miaka 7
jela .