Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
"kijana unatakiwa ufuate utaratibu wa mtaa wetu Kikubwa unaulizia ishu za michongo ya pesa lipia elfu mbili"
(Nahisi jamaa alikua anapiga fegi)
Nilikua nauliza kama naweza pata fremu mtaa fulani hivi, kiukweli bado hakuna madalali ni unaonana tu na mmiliki lakini jamaa hawakupi connection adi ulipie aisee. Tanzania Ndo timefikia huku? Kama Uganda?