Huku mtaani kwetu, Gwajima kaibuka kuwa shujaa wa Taifa

Miccm haina akili.
 
Kwa iyo darsa la 7 1000 ni sawa na Gwaji boy mmoja
 
Itakuwa ni mtaa wa hapo manzese Kambi ya fisi. Anakubalika sana hapo
 
kama watekwaji wanaliwa nyuma ina maana Gwaji Boi mzee wa mauno soon ataukatikia mkuyenge wa wasiojulikana ?
Bora atoroke nchi, hio ni aibu kubwa kufanyiwa gwajima.
Sema polisi wetu ni kama IQ ndogo sana wamekurupuka kama alivyokurupuka gwajima. Walitakiwa wawe baridi aropoke ropoke baada ya wiki kadhaa au miezi kajisahau wanamdaka kama panzi.
 
Jasusi wa mbinguni yule.Sifa mojawapo ya jasusi ni uwezo wa kufanya the cadavas/abracadabras.
 
Hata mimi kwangu kawa shujaa, maana karibia kila mtu kwa sasa anahofia akisema juu ya utekaji, hali yake ya kisiasa na kijamii itakuwaje, lakini yeye kaamua kujitoa kafara yeye na kanisa lake kwa ajili ya kuwatetea wanyonge.

Hakika Gwajima ni kama Daudi wa enzi zetu anayethubutu kukabiliana na Goliath uso kwa uso bila woga.
 

Shujaa? Kweli shujaa.

Ila aliwatoroka hawa wenye kuweza kudai wakiwa macho makavu kuwa hata Soka, Mdude au mzee wa mwambao nao waliwatoroka?

Kama walikana kuwapiga watu Kisutu, kesi ya Lissu, ni heri kuwa wa mwisho kuamini kuwa Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa hao ndugu japo mmoja wao, ati kuwa siyo mwijakwu mwenyewe wa pande za humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…