Uchaguzi 2020 Huku ni kuishiwa hoja za kisiasa na nidhahiri mgombea wa CHADEMA amejitanabaisha hafai kuwa Rais

Mwambieni Magu aonyeshe cheti hadharani kama hatafanya hivyo sisi huku uswazi tutajua hana na sio Mtanzania..Obama alibanwa kwamba kazaliwa Asia akatoa cheti hadharani...
 
Mimi naamini kama magu aliupata urais pamoja na mapungufu yake yote, yeyote aweza kuwa rais na lissu akiwemo.
Mkuu Magufuli system ya chama chake ndo inambeba, lakini ni Rais gani ambaye hana mapungufu. Trump na yeye maskini kabebwa na system tu tena huyu angelikuwa na katiba kama ya tz angelikuwa mtu mbaya sana. Sema katiba ya wenzetu inampa maelekezo Rais kipi chakufanya, japo bado anajitutumua tu. Kwa biyo mkuu mimi na wewe mapungufu ni makubwa tu tena tunavumiliwa tu wanaotuzunguka.
 
Wewe punguani ndiyo hujui sheria inasemaje umeshasafir kwenda kigoma wewe au unajamba tu kwa kuvimbiwa hapo lumumba
Mkuu usilalame sana kuhojiwa kila sehemu wanahojiwa hasa mikoa ambayo ipo mipakani.
Huwezi kuzuia taasisi huska kisa eti inasumbua wananchi. Hapana mimi kunawafanyakazi wenzangu wengi tu wanahojiwa na baadae akibainika ni mtz anabaki kama siyo anaenda kwao.
 
Kuna watu wanatabia ya kujitapa, kuwa wao ni wakongoman kwa ajili ya kupata umaarufu wa kibiashara, mfano Nyoshi Elsadat huwa anajitapa mkongoman kumbe ni mdigo wa tanga uhamiaji walivyomkamata babake akaja akajieleza wakamwachia, cha msingi uhamiaji wakikukamata toa ushirikiano basi, sasa wenye unajitapa wewe mmanyema wakikurudisha Kongo hutaki,

Kagame alishasema yeyote anayehangaishwa kwa kudhaniwa mnyarwanda yuko huru kurudi Rwanda na atampokea kinachokufanya siuende nini? isitoshe maisha ya kule bomba kuliko ya bongo, mie wakisema ni muitaliano mbona ntachekelea ntawambia wanipeleke hata leo.
 
Nilichogundua kwako wempuuzi unamatatizo yakuelewa alicho amanisha lisu kumbuka anataka watu wanchi hii kuwa huru uhamiji upo miaka nenda Rudi nawala hazuii kufanya kazi zahaki kamainavyotakiwa ilakwanini wamchunguze mtu Mara baada yakuikosoa serekali ndiouhamiaji wasumbue akatoa mfano kwa kakobe nadhani wewe ulichukia pale aliposema magu hana cheti cha kuzaliwa
 
Bashe na Kakobe walihojiwa kwa mujibu wa sheria kuhakiki uraia wao.

We pimbi usie na akili,Geita ni Burundi. Ndio unamshauri Lissu aropoke upuuzi?
Kwanini watu mpaka waonekane wanaikosoa serikali ndio waanze kushurutishwa?Ushahidi upo mwingi,ukitofautiana tu mamlaka basi unaanza kutafutiwa kesi!Upuuzi mtupu!
 
Tupeni ratiba ya rais mwingine anayetarajia kuja nchini kuokoa jahazi, maana linazama huku
 
Acha ujinga wewe hii long story isiyo na tija bakia nayo huko huko Tambua humu watu wameamka wanajua vingi kuliko wewe, utawala wenu umekuwa ukitumia Uraia vyeti vya kuzaliwa kama rungu la kuwakomoa wakosoaji wake, cha ajabu eti kudai vyeti vya mtukufu mwenyekiti wa CCM mmekuja na Maelezo mengi yasiyo na tija zaidi ya kuzidi kuwatia hasira wengi wasiopendezwa na udhalimu wenu.
 
So kwa sababu Geita kuna warundi wengi ndio JPM awe mrundi?
Ukiwa Geita hata kijijini namna gani Mrundi na Mnyarwanda wanajulikana. Mara kwa mara kuna operation za kuwakamata na kuwarudisha kwao. Acha kutumia kinyesi kufikiria tumia akili.
Wewe ndiyo unatumia kinyesi kufikiri kwa vigezo hivi ni dhahiri uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo sana, kuwepo warundi vina uhusiano gani na vyeti vya mtukufu mwenyekiti wa CCM?
 
CCM leteni sera zenu tuzijue, sio kila siku mnakuja na ishu za chadema tu

Lisu yuko hivyo na ataendelea kuwa hivyo na hizo ndio kampen

Sasa ww unataka mgombea wa chadema a aanze kwa kusifia ndege?
 
Kwanini watu mpaka waonekane wanaikosoa serikali ndio waanze kushurutishwa?Ushahidi upo mwingi,ukitofautiana tu mamlaka basi unaanza kutafutiwa kesi!Upuuzi mtupu!
Utawala wa awamu ya tano ndiyo utawala penda penda kesi hakuna mfano Duniani, ukiwakosoa tu lazima wakubambikie kesi, wanatumia kesi kesi kama rungu la kuwakomoa wapinzani
 
CCM leteni sera zenu tuzijue, sio kila siku mnakuja na ishu za chadema tu

Lisu yuko hivyo na ataendelea kuwa hivyo na hizo ndio kampen

Sasa ww unataka mgombea wa chadema a aanze kwa kusifia ndege?
Ndege na miradi yote mikubwa ya CCM imejaa ufisadi ndiyo maana walimtoa kafara CAG wapate kupiga bila kelele.
 
Porojo nyingiiiiii.
Kama kweli anavyo vyeti si uviweke hapa man?
 
Siku anaweka pingamizi mlikuwa mnashangilia kama mazuzu, baada ya kutupwa pingamizi lake hamjamuhoji kuwadanganya na mmenyamaza kimya na yeye pia kanyamaza,
Sasa hapo nani ni fyongo kama sio ninyi mliokuwa mnashangilia utopolo huku nyumbani mmeacha wake na watoto wanawangalia.

Waambie wamuulize kwanza Jiwe Kama ana vyeti vya kuzaliwa vya babu yake na Bibi yake
 
Wewe unavyo? Au unafikiri kwa kutumia makalio? Unajua sheria inasemaje kuhusu uraia?
Changudoa wa malunde kuwa mpole,serikali ya chama chako imekuwa kinara wa kuwahoji uraia wale wanaoikosoa,unataka kusema hizo sheria zimetengenezwa jwa wakosoaji pekee??Una uhakika kuwa hakuna raia wa nchi nyingine aloingia nchini kwa kujipenyeza na kupata kitambulisho cha NIDA??Naona wewe ndo unafikiri kwa kutumia hilo tundu katikati ya hayo makalio.
 
Sasa wao kila siku wako busy na chadema tu
CCM hawana sera zaidi ya kurudia rudia yaleyale ya kila siku na baada ya kugundua chadema inawapeleka puta wameanza kutengeneza kisingizio propaganda za kishamba shamba wakizani watanzania wamelala kama wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…