Huku ni kujidhalilisha

Huku ni kujidhalilisha

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Mdada unatembea uchi kabisa bila hata aibu daah
cappuccino_tunda-20190219-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naona sawa tu..kuliko angetoa na hizo chupi kabisa..hiyo ndio athari ya utandawazi na kumbuka pia huyo anawazaz na wanaona hayo ila wameshakubaliana na hal halisi....asalam aleykum mleta mada
 
Mdada unatembea uchi kabisa bila hata aibu daah View attachment 1026259

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah bora akae uchi huyu mana hata umbo lenyewe kuanzia hapo kwenye chupi mapajani mpaka kwenye magoji there is nothing at all.

Amekaa kama mapaja ya tundu lissu baada ya kupigwa risasi,kuna wanawake wakikaa kama huyo apo unahaha unaona hasa kwamba wanaokaa uchi wanatuumiza na wanatutamanisha.

Lakini huyo dhana ya kutamanisha imeondoka ns badala yake anajidhslilisha tu,uzuri usoni tu hamna kitu hapo.
 
Wamejaribu kuwatafuta wakiwa na magauni wameona hawapatikani sasa wameaona ngoja wakae uchi kabisa...
 
Acha unaa wewe. Wakina dada msiogope endeleeni kujifotoa mtuwekee tuone
 
Back
Top Bottom