Huku ni kujidhalilisha

MBONA PICHA YA KAWAIDA SANA,MKUU UWE UNAKUJA DAR KUTEMBEA KIDOGO,SIO UNAMALIZIA MWAKA SIMIYU
 
Kua na nidhamu ya maneno na sio kuongea kama mpumbavu
 
Binafsi naona sawa tu..kuliko angetoa na hizo chupi kabisa..hiyo ndio athari ya utandawazi na kumbuka pia huyo anawazaz na wanaona hayo ila wameshakubaliana na hal halisi....asalam aleykum mleta mada

Hivi na Mjomba na baba mdogo nao ni wazazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ