Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Habari?
Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka unioe, namaanisha mwamke ambae kaisha kua na akili timamu maana jinsia yao inapataga ukomavu wa akili wakiisha timiza miaka 30 achana na hawa wasichana under 28. je sisi ME ni kweli ni wachache hapa TZ na dunia kwa ujumla mpaka kupelekea dada zetu kuamua kuingia vitani wenyewe au ni upendo tu maana kwangu mimi hua naishia kuwashangaa hao KE kwasababu sio jambo la kawaida kufanywa na wao