Pre GE2025 Huku nilipo sio CCM wala CHADEMA ila habari ni Lissu kuwa anatufaa kuwa Rais wa JMH

Pre GE2025 Huku nilipo sio CCM wala CHADEMA ila habari ni Lissu kuwa anatufaa kuwa Rais wa JMH

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa.

Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lissu alipokuwa akichuana na JPM kwa watu wa kanda ya ziwa watakubaliana na mimi lisu alikuwa anakubalika sana huku kitu kilichomfanya JPM amzuie Lissu kufanya kampeni pale Chato na akafanikiwa lakini ukweli ni kwamba siku hiyo kulikuwa na umati mkubwa mno uliokuwa una mgonja palepale chato!!

Nasema haya mimi siku hiyo nilikuwa Mganza Chato na kutoka Mganza to Chato sio mbali sana kwa siku unaweza enda na kurudi zaidi ya mara4.

Baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA sasa huku habari ya mjini imekuwa ni Lisu Lisu Lisu.Sio wazee wala CCM lialia ukiachana na machawa kama mjuavyo chawa ni mtu mmoja asiyekuwa na akili hata kidogo ni mtu aliyetiyari kuutweza utu wake kwa vipande vya fedha, Chawa kamwe hajitambui na hawezi kuishi na mtu msafi milele yote.

Jana nili bahatika kuonana na mwenyeketi wa kijij changu (ccm)na tukazungumza machache.Anasema hakuna uchaguzi ambao CCM hatutaeleweka kama huu kumtetea samia yaani napita kwa watu wangu walio nichagua wananiambia wazi kama msipobadiri kwenye urais basi kura tunampa Lisu.

Nikamuuliza yeye kama yeye kura atampa nani akasema kura ni siri lakini lisu ndo anatufaa sana kwa kipindi hiki

Sisi wajumbe wamefeli pakubwa sana na hii tumepewa kazi ya ziada kwa ngazi ya rais.

Mtaani sasa ndo kumechfuka mno ukimsema kwa mazuri Samia unaambiwa wewe ni chawa tu huna akili yoyote.

Yangu ni haya tu kwa uchache wake kutoka maeneo yangu ninayoishi na hapo kampeni bado.

Kazi ipo.
 
Kibwagizo Cha "Mama mzanzibari anaeuza Mali za Tanganyika"no kinwagizo hatari sana hata kama wewe ni kiziwi lazima utasikia!!

Turudi chimwaga tuchague mgombea mama hawezi jibu hoja za mtu aliezijibu risasi !
 
Ukifa mke wako anaolewa kama kawaida,

Watu watatumia taulo lako,

Hiyo akaunti yako watu watawithdraw hela kila itapohitajika,

Watu watalalia kitanda chako na mke atapiga kelele za raha Kwa huduma mujarabu anayopewa.

Mkeo atakusahau huku watoto wakionywa na kupewa amri na Baba Yao mpya.
 
Ukifa mke wako anaolewa kama kawaida,

Watu watatumia taulo lako,

Hiyo akaunti yako watu watawithdraw hela kila itapohitajika,

Watu watalalia kitanda chako na mke atapiga kelele za raha Kwa huduma mujarabu anayopewa.

Mkeo atakusahau huku watoto wakionywa na kupewa amri na Baba Yao mpya.
Kwahiyo nisife ama?
 
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa.

Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lisu alipokuwa akichuana na Jpm kwa watu wa kanda ya ziwa watakubaliana na mimi lisu alikuwa anakubalika sana huku kitu kilichomfanya jpm amzuie Lisu kufanya kampeni pale Chato na akafanikiwa lakini ukweli ni kwamba siku hiyo kulikuwa na umati mkubwa mno uliokuwa una mgonja palepale chato!!

Nasema haya mimi siku hiyo nilikuwa Mganza chato nakutoka mganza to chato sio mbali sana kwa siku unaweza enda na kurudi zaidi ya mara4.

Baada ya Lisu kushinda uenyekiti wa chadema sasa huku habari ya mjini imekuwa ni lisu lisu lisu.Sio wazee wala ccm lialia ukiachana na machawa kama mjuavyo chawa ni mtu mmoja asiyekuwa na akili hata kidogo ni mtu aliyetiyari kuutweza utu wake kwa vipande vya fedha, Chawa kamwe hajitambui na hawezi kuishi na mtu msafi milele yote.

Jana nili bahatika kuonana na mwenyeketi wa kijij changu (ccm)na tukazungumza machache.Anasema hakuna uchaguzi ambao ccm hatutaeleweka kama huu kumtetea samia yaani napita kwa watu wangu walio nichagua wananiambia wazi kama msipobadiri kwenye urais basi kura tuna mpa Lisu.

Nikamuuliza yeye kama yeye kura atampa nani akasema kura ni siri lakini lisu ndo anatufaa sana kwa kipindi hiki
Sisi wajumbe wamefeli pakubwa sana na hii tumepewa kazi ya ziada kwa ngazi ya rais.

Mtaani sasa ndo kumechfuka mno ukimsema kwa mazuri samia unaambiwa wewe ni chawa tu huna akili yoyote.

Yangu ni haya tu kwa uchache wake kutoka maeneo yangu ninayoishi na hapo kampeni bado.Kazi ipo.
Katika uchaguzi ulio huru na haki ccm hawawezi kutobolea ; sio kwa ubunge wala kwa Samia. Habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom