Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa.

Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri.

Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa.

Bado tunawaitaji hawa mashikaji kitaa ,yote waliyofanya ni matunda ya siasa yeyote yanaweza kumkuta.

Naamini Mungu atawapa wepesi tutakuwa nao tena kitaa.

Amen
 
Back
Top Bottom