Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mkuu umenifanya nitafakari sana haya maneno. Ngoja niyaweke kwenye LAMINATION for future useNi masikini pekee wanaoweza kukupa utajiri ukiwatumia vizuri.
[emoji419]Ni masikini pekee wanaoweza kukupa utajiri ukiwatumia vizuri.
Labda ni kwa kuwa wanachukua vibarua wengi ili kuweza kuwalipa woteNdugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?
Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
View attachment 2486436
Then unasikia mtu anasema tunahitaji viwanda vitoe Ajira,hizo ni Ajira?Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?
Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
View attachment 2486436
Na Dunia inaenda Kwa unyonyaji kwani hujui?Huu ni unyonyaji yani
[emoji404][emoji404][emoji404][emoji404][emoji404]notedNi masikini pekee wanaoweza kukupa utajiri ukiwatumia vizuri.
hiyo ndio kazi ya ccm walisha sema heti mtanzania akiajiriwa mshara wake kwa mwezi ukawa 300,000/ ajiona bwana mkubwaNdugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?
Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
View attachment 2486436