Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi bata zangu ila pesa zipo kwa ajili yetu na nyie kuna siku mtazikamata tu huku yues.
Safari yangu mimi na mke wangu adelina kimambo ilianzia Houston kwasababu tulipandia ndege Houston uwanja wa George Bush International Airport tukiiwahi ndege ya Qatar Airways
Tulifika mapema Houston tukapanda ndege ya Boeing 777-300 ER business class you know business class? You know? basi huku yues.
Ndege ilitumia masaa kadhaa tuko angani tu hatimaye tukafika qatar uwanja wa al hamad International airport tukashuka na mke wangu kipenzi adelina kimambo tax tukapokelewa na mwenyeji wetu hussein haitham al makhtoum tukapanda kwenye gari yake aina ya Mercedes benz nyekundu na rangi ya kuvutia kweli kweli huku yues.
Mwenyeji wetu hussein haitham akatupeleka kwenye hotel ya five-star hilton hotel mie ndiyo nimuambia atupeleke huko kwa sababu mara nyingi naitumia sana nikiwa marekani kwenye ile hotel yao ambayo ipo pale Virginia hilton hotel Virginia kiukweli ni hotel ya nyota tano haswa.
Now bado tupo hapa qatar kwa siku kadhaa tunawait baadhi ya mechi za kombe la dunia then mimi na mke wangu adelina kimambo will back to 🇺🇸 for rest of our life.
Kuna picha zipo hapo chini nimekuwekeeni na nyinyi muenjoy hata kwa macho hahahahahaha huku yues.Jumapili njema majobless,wenye wivu, vijicho,chuki, mnaoishi kwa shemeji zenu na pia mnaojifanya great thinker halafu hata kwenye vijijini vyenu hamjatatua tatizo la baa la njaaa hahahahahaha huku yues.