Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Ngambo NgaliHatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha. Kisheria hukumu hiyo ilkuwa itolewe uamuzi ndani ya siku 60 baada ya mawakili kufunga hoja zao. Pamoja na kuwa siku hizo zilipita lakini bado mahakama hiyo imeendelea kupata ligugumizi kuhusu suala hilo mpaka hivi karibuni rasimu ya katiba ilivyotolewa.
Mahakama iliamua kuwa kumzuia mgombea huru Ni kukiuka freedom of association.
What is that mean, sasa sheria yetu ya uchaguzi itabadilishwa to accommodate hukumu hiyo?.Mahakama iliamua kuwa kumzuia mgombea huru Ni kukiuka freedom of association.
Hukumu ya mahakama hiyo inapatikana kwenye tovuti ya African Court of Justice.
Thanks for this. Kumbe Mchungaji Mtikila left a good legacy with something tangible.It is high time tume ya uchaguzi inakuwa put to test on the strength, spirit, intents and purposes of the decision of the African Court .
He will end up confusing you, if your memory is sharp, you will remember that he was the amicus curie in the court of appeal case on private candidates?Thanks for this. Kumbe Mchungaji Mtikila left a good legacy with something tangible.
RIP Mchungaji Mtikila.
Nitamtafuta Kabudi for this.
P
No, I don't think, that role was an opinion role, but when I approach him, I'll have that judgment with me, together with Article 46.He will end up confusing you, if your memory is sharp, you will remember that he was the amicus curie in the court of appeal case on private candidates?
Do you remember the role he played in derailing the Court on the issue independence candidates case in his role as an amicus curie.
Take my word he will do the same in the event you consult him.
2020 naingiza karata yangu mahali.The best cause to pursue is to test the independence of the National Election Commission by taking up the forms and submit to them, to see what they have to say on that.
While so doing the judgement of the court ought to be attached with the forms as they will pretend they do not have notice on that.
Kudos MkuuJaribu kwenye the next by election if there is one2020 naingiza karata yangu mahali.
No by elections zote lazima CCM ishinde.Kudos MkuuJaribu kwenye the next by election if there is one
Legacy ya kuwa mtu was Kwanza kutekeleza hukumu ya Mtikila kwa vitendoNo by elections zote lazima CCM ishinde.
P