Daniel nsanzugwanko wiki mbili zilizopita,akiwa na Nape Nauye apa kasulu mjini. Aliwambia wananchi kuwa kesi yake ilichakuliwa koti kuu na mahakama ya rufan na ata mahakama ya rufani. Alisema kuwa leo tarehe 6/02/20.12 majaji watatu wanatoa uamzi kuhusu kesi yake ana ana uhakika wa kushnda.kumbuka mwaka 2010 alinyukwa na zaitun buyogera. Mwenye taarifa atujuze nini kimejiri