Hukumu kesi ya wakala Richmond Aprili 21, 2017, hii ni hukumu ya pili kwa kesi moja

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Heshima kwenu wakuu,

Hii kesi ya Richmond siielewi, yaani sijui Sheria inafanyaje kazi kwenye hii kesi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 21, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya Richmond inayomkabili mshtakiwa Naeem Gire, hukumu itakayotelewa na Hakimu Mkazi Mkuu Mfawidhi, Cyprian Mkeha.

Gire ambaye alikuwa wakala wa kampuni inayodaiwa kuwa ni kampuni hewa ya kufua umeme wa dharura, Richmond Development LLC, anakabiliwa na mashtaka ya kughushi nyaraka, kutoa taarifa za uwongo na kuwasilisha nyaraka za kughushi serikalini.

Huyu Gare alishawahi kuachiwa huru kuhusu hii kesi kwamba ushahidi hautoshi. Ilikuwa july 28 mwaka 2010.

Soma=>Mahakama yamwachia huru Naeem Gire wa Richmond.

Baada ya Miaka miwili, kesi ikafufuliwa tena, Gire akaitwa tena mahakamani Juni 6 2012. Soma=>Kesi ya Richmond kufufuliwa

Kesi ikaendelea hadi 21 machi 2017 ndo hukumu itatoka. Kwanini hii kesi inakuwa na danadana sana? Kuna jipya tutegemee?


Haya mambo Sheria yana wigo mpana

Soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…