Mambo vipi wadau! naomba kuelimishwa juu ya uendeshaji wa kesi hapa nchini ambao vyombo vya habari haviruhusiwi kurush laivu kesi inapoendelea mahakamani. Kwani nimeona tv za nje zikilusha laivu hukumu mbalimbali mfano ile ya rais wa misri nk. je hii ipoje ni taratibu zetu tu au ni za kisheria au tunatiafutiana uendeshaji kesi?