0782561354
Member
- Feb 23, 2019
- 7
- 11
Mtu akamatwa kwa kesi ya gongo hukumu ilikuwa kama ifuatavyo.
Jaji: Nakuhukumu kwa kosa la kuuza gongo
Mtuhumiwa: Me siuz gongo mnanionane 2
Jaji: Si tumekukamata na kifaa cha kutengenezea gongo
Mtuhumiwa: Dah sasa si mmenikuta na mashine 2 lakini siuzi
Jaji: Hata kama
Mthumiwa: Basi nikamateni kwa kesi ya kubaka
Jaji: Kwani umebaka lini?
Mtuhumiwa: Si nina kifaa cha kubakia
😂😂😂